Shangwe la CHADEMA Arusha wakifurahia ushindi wa Deogratius Mahinyila kama Mwenyekiti MPYA wa BAVICHA Taifa

Shangwe la CHADEMA Arusha wakifurahia ushindi wa Deogratius Mahinyila kama Mwenyekiti MPYA wa BAVICHA Taifa

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Shangwe la WanaCHADEMA kutoka soko kuu Arusha wakifurahia ushindi wa Wakili Deogratius Mahinyila kuwa Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa.

Soma: Uzi maalumu wa matokeo Uchaguzi wa Baraza la Vijana (BAVICHA) na Baraza la Wazee (BAZECHA) CHADEMA Taifa 2025

Wanachama hao katika wakisherehekea ushindi huo pia wamemshukuru na kumpongeza Godbless Lema kwa kutoa hotuba ambayo wao wamedai amesema ukweli na wamefurahishwa uamuzi wake wa kumpigia kampeni za Uenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu.
 
Mzee tumemshauri hataki , ona sasa ,alafu anasema kutakua na mnyukano mkali wakati uchaguzi ulisha isha ,uyu mzee binafsi nampenda sana ,ebu wazee wa chama kaa naye tena
 
Duuh kazini kwa Mbowe Kuna kazi
Kiti atakikalia ila maumivu yake sasa!
20250108_180246.jpg
 
Mbowe ameshauriwa vby na wapambe nuksi, anakwenda kuaibika sasa!.
 
Shangwe la WanaCHADEMA kutoka soko kuu Arusha wakifurahia ushindi wa Wakili Deogratius Mahinyila kuwa Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa.

Soma: Uzi maalumu wa matokeo Uchaguzi wa Baraza la Vijana (BAVICHA) na Baraza la Wazee (BAZECHA) CHADEMA Taifa 2025

Wanachama hao katika wakisherehekea ushindi huo pia wamemshukuru na kumpongeza Godbless Lema kwa kutoa hotuba ambayo wao wamedai amesema ukweli na wamefurahishwa uamuzi wake wa kumpigia kampeni za Uenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu.
Wengi tulimpenda Mh. Mbowe na tunamshukuru kwa kukiongoza chama kwa kipindi kirefu. Hata hivyo natamani angezingatia ushauri wetu toka awali.

Pamoja na wapambe maslahi kumpotosha kwa kutanguliza maslahi binafsi bado Mh. Mbowe anahitajika Chadema.

Hivyo nampa ushauri kuwa licha ya yote hajachelewa, leo leo achukue maamuzi mazito ya kumuunga mkono Mh. Lissu!

Bila hivyo namtahadharisha, legacy yake atakuwa ameitia doa. Safari mpya imeanza na kama, ataendelea kusita atachwa kwenye mataa…chonde chonde kamanda!
 
Back
Top Bottom