Shangwe la Tp Mazembe baada ya kupangwa na Simba

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Mashabiki wa Tp Mazembe wameonekana wakishangilia katika makao mkuu ya timu Yao mjini Lugumbashi Mara baada ya kupangiwa Simba katika Droo ya robo fainali
Mashabiki hao wanaamini kuwakwepa waarabu katika robo fainali Ni Jambo nafuu kwao
Jionee happy wakiimba na kushangiliaView attachment Inst-video-1.mp4

Sent using Jamii Forums mobile app
 
na hicho ndicho kitachowaponza.... hawatoamni kitachotokea.
 
oleeeee.... wenu mchekao sasa.. mana badae mtalia na kusaga meno
 
Kocha wa Mazembe amehojiwa na BBC amesema TP Mazembe inayo mashabiki wengi Tanzania zaidi ya Simba.Yanga mungu anawaona😇
 
Waache waruke waruke tu wakidhani Simba ni uchochoro. Wakishapigwa home and away nao watatamka tu This is Simba AKA Mnyama mkali.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…