Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
We jamaa ni mbumbumbu haswa. Lugha tu unayotūmia inajidhīhirishaUnderdog aliyepewa kifiroo na lipuli juzi iringa...kamweneee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jamaa ni mbumbumbu haswa. Lugha tu unayotūmia inajidhīhirishaUnderdog aliyepewa kifiroo na lipuli juzi iringa...kamweneee
Mzee baba samahani...basi tukiite kipigo cha mbwa koko
Mbumbumbu ni mashabiki wa ombaomba wanaoshadadia maswala ya simba huku timu yao inaolewa iringaWe jamaa ni mbumbumbu haswa. Lugha tu unayotūmia inajidhīhirisha
Mwenyekiti wėnu msaafu alisema mashabiki wa underdog ni mambumbumbu na wewe unashika namba moja katika hiyo listMbumbumbu ni mashabiki wa ombaomba wanaoshadadia maswala ya simba huku timu yao inaolewa iringa
Nina uhakika wewe ni mbumbumbu kuliko mimi..mambo ya simba hayakuhusu kinachokuhusu wewe ni kifiro cha kule iringaMwenyekiti wėnu msaafu alisema mashabiki wa underdog ni mambumbumbu na wewe unashika namba moja katika hiyo list
Lugha tu unayotumia inajidhihirisha umbumbumbu ulionao watu kama nyie ndo tīmu ýenu inawatoeni kafaraNina uhakika wewe ni mbumbumbu kuliko mimi..mambo ya simba hayakuhusu kinachokuhusu wewe ni kifiro cha kule iringa
Zuzu kama wewe lazima uone kila mtu mbumbumbu...timu yako itakutoa wewe kafara kwanza ili iepuke vifirooo inavyopata ckuhzLugha tu unayotumia inajidhihirisha umbumbumbu ulionao watu kama nyie ndo tīmu ýenu inawatoeni kafara
Bilioni tatu, zitaingia toka miguuni mwa wachezaji wa Simba.Simba ni underdog ndo mana
ZuzuuMbumbumbu
Usitutishe ! vijana Okwi na Kagere (miaka 25 ) watatoa Wazee TP MAZEMBEoleeeee.... wenu mchekao sasa.. mana badae mtalia na kusaga meno
Mashabiki wa Tp Mazembe wameonekana wakishangilia katika makao mkuu ya timu Yao mjini Lugumbashi Mara baada ya kupangiwa Simba katika Droo ya robo fainali
Mashabiki hao wanaamini kuwakwepa waarabu katika robo fainali Ni Jambo nafuu kwao
Jionee happy wakiimba na kushangiliaView attachment 1050632
Sent using Jamii Forums mobile app
Simba ni underdog ndo mana
Lipuli ndo kawapa kichaa hiki kutwa nzima kushadadia ya Simba wakati yenu yanawashindaSimba ni underdog ndo mana