Shangwe la Tp Mazembe baada ya kupangwa na Simba

Mbumbumbu ni mashabiki wa ombaomba wanaoshadadia maswala ya simba huku timu yao inaolewa iringa
Mwenyekiti wėnu msaafu alisema mashabiki wa underdog ni mambumbumbu na wewe unashika namba moja katika hiyo list
 
Mwenyekiti wėnu msaafu alisema mashabiki wa underdog ni mambumbumbu na wewe unashika namba moja katika hiyo list
Nina uhakika wewe ni mbumbumbu kuliko mimi..mambo ya simba hayakuhusu kinachokuhusu wewe ni kifiro cha kule iringa
 
Nina uhakika wewe ni mbumbumbu kuliko mimi..mambo ya simba hayakuhusu kinachokuhusu wewe ni kifiro cha kule iringa
Lugha tu unayotumia inajidhihirisha umbumbumbu ulionao watu kama nyie ndo tīmu ýenu inawatoeni kafara
 
Lugha tu unayotumia inajidhihirisha umbumbumbu ulionao watu kama nyie ndo tīmu ýenu inawatoeni kafara
Zuzu kama wewe lazima uone kila mtu mbumbumbu...timu yako itakutoa wewe kafara kwanza ili iepuke vifirooo inavyopata ckuhz
 
Simba ni underdog ndo mana
Bilioni tatu, zitaingia toka miguuni mwa wachezaji wa Simba.

Unachoandika ni mawazo ya kimaskini tu, na kwa kuwa mnataka tuende na mawazo yenu ya kimaskini.
Simba ipo pamoja na Azamu ishinde mechi za FA, hatimae walibebe kombe la FA, ili mwakani mpate timu nyingi zaidi za kushangili, hii kampeni inaenda kimya kimya kwa taarifa yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha mzaha mkuu. Mbona hili ni shangwe la unyago DRC Kongo!!!
 
Mwigulu Nchemba aliwaita Viruka njia. Unafungwa na Lipuli unashangalia SIMBA afungwe na Vita.Kama sio kufikiri kwa makalio ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…