Shangwe latawala mara baada ya Mbunge wa Buchosa aliyemaliza muda wake, Eric Shigongo, kuibuka mshindi katika kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwania muhula wa pili wa ubunge katika jimbo hilo.
Mzee WA hadithi za KWENYE magazeti. Na KILA STORI lazima MTU Aende nchi za NJE. nilisha wahi soma historia yake ya maisha kama ni kweli basi JAMAA kapambana. SEMA Hawa SI WA kuwaamini sana .