Shape nzuri ya mwanaume inayovutia ni ipi?

Mwanamke huangaliwa kama hips kifua n.k kifupi namba 8, je shape ya mwanaume inayovutia ni ipi? Yani ambayo unaweza sema perfect man.

N. B usifananishe uanaume na kua rough.
Kua na ngozi laini si kosa.
Kunukia sio kosa
Kua na sura nzuri sio kosa.
Consult Jaku boy
 
Kweli kabisa.
 
Mwanamke huangaliwa kama hips kifua n.k kifupi namba 8, je shape ya mwanaume inayovutia ni ipi? Yani ambayo unaweza sema perfect man.

N. B usifananishe uanaume na kua rough.
Kua na ngozi laini si kosa.
Kunukia sio kosa
Kua na sura nzuri sio kosa.
Shape ya mwanaume ni:
Pesa
Pesa
Pesa
Pesa
U boo
 
Beauty falls in the eyes of the beholder.
Kila mtu ana mtazamo wake sidhani kama kuna kigezo ama vigezo maalum kwa mwanamke mrembo ama mwanaume mtanashti
 
Mwanamke huangaliwa kama hips kifua n.k kifupi namba 8, je shape ya mwanaume inayovutia ni ipi? Yani ambayo unaweza sema perfect man.

N. B usifananishe uanaume na kua rough.
Kua na ngozi laini si kosa.
Kunukia sio kosa
Kua na sura nzuri sio kosa.
Shape ya mwanaume ni account inayo zungusha hela kwa speed na kwa wingi wa kutosha
 
Mwanamke huangaliwa kama hips kifua n.k kifupi namba 8, je shape ya mwanaume inayovutia ni ipi? Yani ambayo unaweza sema perfect man.

N. B usifananishe uanaume na kua rough.
Kua na ngozi laini si kosa.
Kunukia sio kosa
Kua na sura nzuri sio kosa.
Kwa hizi akili ,Sio ajabu vijana wengi kwa sasa ni mashoga.
Unawaza tofauti sana na mwanaume anavyopaswa kuwaza
 
Kumbe ulifungwa?? Sijahudhuria siku nyingi huko
 
Kwangu gentle man ni yule mwanaume anajielewa na pia anaijua shughuli.
Ndo mwanaume nimeolewa naye hata wakisema rudia kuchagua tena nitamchagua kwa mara nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…