Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Kwangu gentle man ni yule mwanaume anajielewa na pia anaijua shughuli.
Ndo mwanaume nimeolewa naye hata wakisema rudia kuchagua tena nitamchagua kwa mara nyingine
Nimeipenda hii kaka.Aisome secretarybird
No one is perfect....shape nzuri ya mwanaume ni mkwanja tu tafuta hela kuwa na cashMwanamke huangaliwa kama hips kifua n.k kifupi namba 8, je shape ya mwanaume inayovutia ni ipi? Yani ambayo unaweza sema perfect man.
N. B usifananishe uanaume na kua rough.
Kua na ngozi laini si kosa.
Kunukia sio kosa
Kua na sura nzuri sio kosa.
"we bwana jiangalie.utafika umechoka sanaaaa! Eehh jiangalie! Utafika umechoka"Mwanamke huangaliwa kama hips kifua n.k kifupi namba 8, je shape ya mwanaume inayovutia ni ipi? Yani ambayo unaweza sema perfect man.
N. B usifananishe uanaume na kua rough.
Kua na ngozi laini si kosa.
Kunukia sio kosa
Kua na sura nzuri sio kosa.
Dalili Zipo WaziHAPA SIO PA KUPIGA KAMBI ZINAWEZA KUVUNJWA CHUPA ZA MIRINDA
Kisha. Black and hendisamuMwanaume akiwa mrefu ndio kigezo Cha kwanza Cha kupendwa na kila mwanamke.