Shape nzuri ya mwanaume inayovutia ni ipi?

Wadudu komba mavi inawezekana wamejaa humu kinouma , ndio maana jamaa anakuja kimkakati sana๐Ÿค”
Astaghaffillah astaghaffillah astaghaffillah astaghaffillah astaghaffillah ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ™Œ ๐Ÿ™ ๐Ÿ™Œ ๐Ÿ˜‚ nimecheka daaah et wadudu komba mavi daaah
 
Mwanamke huangaliwa kama hips kifua n.k kifupi namba 8, je shape ya mwanaume inayovutia ni ipi? Yani ambayo unaweza sema perfect man.

N. B usifananishe uanaume na kua rough.
Kua na ngozi laini si kosa.
Kunukia sio kosa
Kua na sura nzuri sio kosa.
nikupe mfano wa picha ili upate jibu kirahisi?
 
Hauwajui wale wadudu wanaoburuza mavi bwashee?
 
Jamani mwanaume tumefikia huku kuangaliana mashepu,ngoja niwasimulie,kuna jamaa yangu hapa jirani ni mbaya kinoma,mweusi,kichogo umbo haeleweki,ila anapesa,na ameoa mwanamke ambaye ukiambiwa huyu ni mke wa jamaa huwezi amini, pesa ndio shape la mwanaume.
 
Hivi haya maneno huwa mnatamka vipi bwana hamnazo ๐Ÿ˜ธ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ