Shape nzuri ya mwanaume inayovutia ni ipi?

Tumepoteza tena
 
Wapumbavu tu ndio wanapigana vita bwashee 🀣

Vita ni majanga na moja ya silaha kubwa za ibilisi.

Wanaumia wanawake na watoto wasio na hatia.

Wanaleta dhiki kwa wanadamu wengi wasio na sababu zozote na vita hivyo.

Vita ni ushetani
 
Mwanaume akiwa mrefu ndio kigezo Cha kwanza Cha kupendwa na kila mwanamke.
Mbona wapo tunaishi nao mitaani hawana mademu na wanasota kweli kweli hadi wanatuuliza sisi wafupi tunawapataje mademu wazuri!

Binafsi sio mrefu lakini hakuna mwanamke nitamhitaji aruke kiunzi.

Nafikiri good looking man plus swaga/sound ina matter zaidi kuliko kingine chochote mkuu.

Wanaume weupe pia wanababaikiwa sana na mademu no matter ni mrefu ama mfupi.

Hii ni observation yangu mwenyewe niliifanya na nikagundua hivyo mkuu.
 
Mwanamke huangaliwa kama hips kifua n.k kifupi namba 8, je shape ya mwanaume inayovutia ni ipi? Yani ambayo unaweza sema perfect man.

N. B usifananishe uanaume na kua rough.
Kua na ngozi laini si kosa.
Kunukia sio kosa
Kua na sura nzuri sio kosa
Washamvunja tayar
 
Mwanamke huangaliwa kama hips kifua n.k kifupi namba 8, je shape ya mwanaume inayovutia ni ipi? Yani ambayo unaweza sema perfect man.

N. B usifananishe uanaume na kua rough.
Kua na ngozi laini si kosa.
Kunukia sio kosa
Kua na sura nzuri sio kosa.
Loaded wallet
 
Weka picha kuleta utamu wa swali Ili watu tuchague.
 
Mwanamke huangaliwa kama hips kifua n.k kifupi namba 8, je shape ya mwanaume inayovutia ni ipi? Yani ambayo unaweza sema perfect man.

N. B usifananishe uanaume na kua rough.
Kua na ngozi laini si kosa.
Kunukia sio kosa
Kua na sura nzuri sio kosa.

Vipi mkuu Diarra katoka golini?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Pesa unayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…