FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Mtapewa, lakini sio ndio mnajilaza vibarazani mkijamba jamba kusubiri urithi wa nyumba Kariakoo, fanyeni kazi mpate vyenu, mtakuja kufa nyinyi muache wazazi wenu wakila jasho lao.., msiomnee vifo wenzenu kisa mali za urithi..Mbona hasira sana kwa mambo madogo basi mali zako ukifa watoto wako watakuzika nazo kwenye kaburi na jeneza lako,, vipande vya magari, nyumba, madirisha, nguo, fedha, saa , mabati ya alaf, nondo, n.k..hapo vipi
Yeye Shaq aliomba kuzaliwa?Huyu ni MPUMBAVU kwani watoto waliomba kuzaliwa? Starehe zake na hawara yake ndiyo zimeleta mimba na hatimaye watoto unless awarudishe walikotoka
Nani kasema ni umasikini?A
Aliyekwambia nyumba ni utajiri n nani
Utakufa wewe utamuacha baba yako ananyandua vigori na kuhonga jasho lake , tafuta chako ule maisha sasa badala ya kusubiri kifo cha mzaziLazima tutoleee macho Mali za wazazi wetu
Mbona hasira sana kwa mambo madogo watoto wako wamekataa mali zako wamesema ukifa watakuzika nazo kwenye kaburi na jeneza lako,, vipande vya magari, nyumba, madirisha, nguo, fedha, saa , mabati ya alaf, nondo, n.k..hapo vipiMtapewa, lakini sio ndio mnajilaza vibarazani mkijamba jamba kusubiri urithi wa nyumba Kariakoo, fanyeni kazi mpate vyenu, mtakuja kufa nyinyi muache wazazi wenu wakila jasho lao.., msiomnee vifo wenzenu kisa mali za urithi..
Mimi watoto wangu hakuna aliyevuka miaka 10 na nawaandaa kutafuta vyao, wasije wakaniombea kifo cha mapema baadae .., 😂, tafuteni vyenu aiseeMbona hasira sana kwa mambo madogo watoto wako wamekataa mali zako wamesema ukifa watakuzika nazo kwenye kaburi na jeneza lako,, vipande vya magari, nyumba, madirisha, nguo, fedha, saa , mabati ya alaf, nondo, n.k..hapo vipi
Kwa afrika huku wangemuua wanae ili wagombee urithi huoMIMI NDIO TAJIRI WATOTO WANGU WATAFUTE PESA ZAO
Nyota wa zamani wa #NBA , #ShaquilleRashaunO'Neal amewachana watoto wake sita kuwa Pesa alizonazo na Utajiri alionao sio wao bali ni wa kwake hivyo na wao wajitafutie pesa zao.
Mpaka sasa Shaq anakadiriwa kuwa na utajiri wa zaidi ya Sh.Trilioni 1 na anaamini kuwa pesa hizo amezitafuta yeye na sio watoto wake kauli yake kwa watoto wake ni "Sisi sio Matajiri, Mimi ni Tajiri" kauli ambayo watoto wake hawapendezwi nayo.
View attachment 2936962
Kama alishawapa malezi na elimu na sasa wanaweza kujitegemea shida ni nini?Huyu ni MPUMBAVU kwani watoto waliomba kuzaliwa? Starehe zake na hawara yake ndiyo zimeleta mimba na hatimaye watoto unless awarudishe walikotoka
Kwan hakuna maskin wenye nyumbaNani kasema ni umasikini?
Utakuta keshawamegea ila anataka tu wasibweteke. Pia kwenye mali hizo angeanzisha family businessMIMI NDIO TAJIRI WATOTO WANGU WATAFUTE PESA ZAO
Nyota wa zamani wa #NBA , #ShaquilleRashaunO'Neal amewachana watoto wake sita kuwa Pesa alizonazo na Utajiri alionao sio wao bali ni wa kwake hivyo na wao wajitafutie pesa zao.
Mpaka sasa Shaq anakadiriwa kuwa na utajiri wa zaidi ya Sh.Trilioni 1 na anaamini kuwa pesa hizo amezitafuta yeye na sio watoto wake kauli yake kwa watoto wake ni "Sisi sio Matajiri, Mimi ni Tajiri" kauli ambayo watoto wake hawapendezwi nayo.
View attachment 2936962
Kujilaza !? kwani nan alimtuma azae watoto ? Angebaki mwenyewe mpaka akafa .Mtapewa, lakini sio ndio mnajilaza vibarazani mkijamba jamba kusubiri urithi wa nyumba Kariakoo, fanyeni kazi mpate vyenu, mtakuja kufa nyinyi muache wazazi wenu wakila jasho lao.., msiomnee vifo wenzenu kisa mali za urithi..
Kizaa kumewekwa automatic pia, sio kila anayezaa anataka kuzaa watu just wanafanya ngono tu kuzaa kunajitokeza siounaona mimba zisizotarjiwaAsingezaa tabu yote ya Nini.
SureThis how black man we made it
Unapozaa unabidi kujua ni wajibu wako kumuandalia mtoto future nzuri.Kizaa kumewekwa automatic pia, sio kila anayezaa anataka kuzaa watu just wanafanya ngono tu kuzaa kunajitokeza siounaona mimba zisizotarjiwa
Upo sahihi, jibu langu halihusiano na hoja yakoUnapozaa unabidi kujua ni wajibu wako kumuandalia mtoto future nzuri.
Ikiwemo kupata Elimu nzuri.
Kumpa maarifa sahihi.
Kumsapoti kihisia anapokuwa down
Urithi mzuri ,nyumba ardhi mashamba na biashara.
Sio mnakimbilia kuzaaa zaa tu we umekuwa Panya
Hizo pesa ataweza kuzimaliza? Awafungulie watoto wake miradi na kuwaongoza. Mwisho wa siku litakuja kufa, halafu ndugu wanakuja kugawana kwa kuwahujumu watoto wake, sasa yote hayo ya kazi gani kama si ujinga.MIMI NDIO TAJIRI WATOTO WANGU WATAFUTE PESA ZAO
Nyota wa zamani wa #NBA , #ShaquilleRashaunO'Neal amewachana watoto wake sita kuwa Pesa alizonazo na Utajiri alionao sio wao bali ni wa kwake hivyo na wao wajitafutie pesa zao.
Mpaka sasa Shaq anakadiriwa kuwa na utajiri wa zaidi ya Sh.Trilioni 1 na anaamini kuwa pesa hizo amezitafuta yeye na sio watoto wake kauli yake kwa watoto wake ni "Sisi sio Matajiri, Mimi ni Tajiri" kauli ambayo watoto wake hawapendezwi nayo.
View attachment 2936962
Wapo, ila nyumba sio umasikini either..Kwan hakuna maskin wenye nyumba
Kwani yeye alipoletwa duniani alilalamika au alifanya kazi na kujituma kujitengenezea maisha yake?Kujilaza !? kwani nan alimtuma azae watoto ? Angebaki mwenyewe mpaka akafa .
kulikuwa na ulazima gani kuwaleta watoto kweny dunia ya tabu?