Share hapa ushuhuda kama uliwahi kufikiria / kujaribu kujiua na ulichojifunza kinachoweza kusaidia wengine

Sema tu huna msimamo. Ungekuwa na msimamo ungeshakunywa sumu.

Hongera sana. Endelea kuchapa kazi.
 
Wengi wa waliowahi kujiua Huw na historia ya kufikiria au kujaribu. Kuwa makini mana hapo ulipo ikitokea sababu ndogo tu tutakukuta Kwa sa-godi
Uzuri, yeye hakufikia hatua ya kujaribu. Nakubaliana nawe, wale wanaokunywa dawa, kujitundika halafu wakaokolewa, baadae hata baada ya miaka kupita, wana kawaida ya kurudia tena na wanajua nini kiliwaokoa walipojaribu mwanzoni. Hivyo wanahakikisha mazingira si kama ya mwanzo, na wanakufa kweli.
 
Wazazi walipogoma kunihamisha Alevel kutoka government school kwenda private dingi akasema nikihama me sio mwanae nliwaza kunywa sumu 🤣🤣
Sema sikunywa tena nkaponea chupu chupuu
Nimecheka sana kisa chako nikawaza kuna mtu anaweza andika, "Mama aliposema nile mkate bila mayai wiki nzima, nikaona si haki nijiue."
 
Nimecheka sana kisa chako nikawaza kuna mtu anaweza andika, "Mama aliposema nile mkate bila mayai wiki nzima, nikaona si haki nijiue."
🤣🤣🤣🤣 hadi leo nkikumbuka nachekaaa

Nlimtishia dingi naacha shule kama hatanipeleka mazinde juu ndo jibu lake likawa nikiacha mm sio mwanae....
Nliumia ile siku ndo nkawaza kujiua. Halafu nlikuwa boarding.

Baba na mama hawakuwa pamoja.
Sasa nkaogopa sana nkajua kama maza ataambiwa na yeye maza atakazia. Maza alipouliza kwani Babako umemfanya nini nikamjibu amekataa kunihamisha na amesema nikitoka hapo shule me sio mwanae... maza akanipoza sana maana alishaona nimeshakuwa na jazba. Akasema achana nae...kitu kidogo hivyo ndo atamke hayo yote..........

Akaniuliza ili usome vizuri hapo shule unataka nikupatie nini? (Alifanya hivi kulinda uhusiano wangu na dingi...maana nlishaamua liwalo na liwe).
Nikamtajia vile ninataka...ikiwemo kuninunulia vitabu na matirio zote za comb yangu.
Maza wa watu mpenda amani akaniambia niweke bei ya kila kitabu na kitini ninachotaka.....akanipatia mpunga me huyooo nkanunua vile muhimu hela ingine nkatumia. Mama pumzika pema. Ulikuwa mtu na nusu. 😭😭
 
Pole mpenzi chini umemaliza nimejiskia vibaya [emoji22]

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…