Matendo Andrew
JF-Expert Member
- Apr 1, 2014
- 748
- 367
Nipo hapa vingunguti kkkt kanisan stend kubwa kabisa ya daladala yaani 90%ya wanavingunguti hii ndio starting point ya safari zao nyingi hasa za kuelekea ndani ya mji na maeneo mengine.
Nilipata fulsa ya kujenga flem kwa mkataba na mwenye eneo kwakua flem ilikua kubwa sana niliigawa katkati na kupata flem 2 moja naitumia tayari hii moja nime plan ifanye kazi x ambayo itajumuisha na kupiga expless Pasport size.
kwasababu nieneo pia lililo karibu na kituo cha police pia lipo karibu na serikali ya mtaa Wa mtakuja lakini lipo nje ya kanisa la kkkt vingunguti ni point nzuri saana kwa idea ya biashara hii x kama upo interested tafadhali kutana namimi tuongee flem imeshalipiwa kodi ya miaka miwili imekamilika kwa asilimia 90 bado kumalizia na vifaa tu...0714 045 080..