Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
Mkuu kuwa serious basi.. !Njia nzuri ya kuweka akiba ni kuwakopesha jamaa zako wa karibu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kuwa serious basi.. !Njia nzuri ya kuweka akiba ni kuwakopesha jamaa zako wa karibu.
Safi sana,umewekeza sehemu sahihi...Akiba yangu huwa Ni kununua ardhi tu ,keshi haizidi Laki Mkuu
Ya ningumu sana kuweka akiba bila kujua lengo LA hiyo pesa...Mfano unahitaji million 7 kwa mwaka lazima uwe na target hii itakusaidia kuwa na Self motivationNBC: nimefungua account , nadhani ni malengo ni kwa muda wa mwaka mmoja!
Ila ku-save kunahitaji nidhamu ya hali ya juu sana, kila pato lango nimeliwekea mgawanyo ufuatao:-
1. 20% ya kila pato langu= Tithe and Offerings
2. 20% = matumizi yote.
3. 30% = Investment
4. 30% = savings i.e investment ya muda mrefu.
Changamoto kubwa ni kupoteza nidhamu hiyo sometime, though najitahidi kujirudi kila mara!
Uko sahihi kabisa!Ya ningumu sana kuweka akiba bila kujua lengo LA hiyo pesa...Mfano unahitaji million 7 kwa mwaka lazima uwe na target hii itakusaidia kuwa na Self motivation
Bila kujua lengo lakuweka pesa uwezi kuwa na nidhamu ya ku-save
Unatakiwa uandae Goals kwamba nahitaji nisave ili ninunue mfano Gari or Simu nk......
Well saidYa ningumu sana kuweka akiba bila kujua lengo LA hiyo pesa...Mfano unahitaji million 7 kwa mwaka lazima uwe na target hii itakusaidia kuwa na Self motivation
Bila kujua lengo lakuweka pesa uwezi kuwa na nidhamu ya ku-save
Unatakiwa uandae Goals kwamba nahitaji nisave ili ninunue mfano Gari or Simu nk...... Njia hii inakusaidia kuongeza Ujasili
Ands of the day kusave pesa inakua ndio sehemu yako ya maisha.....
Ya ningumu sana kuweka akiba bila kujua lengo LA hiyo pesa...Mfano unahitaji million 7 kwa mwaka lazima uwe na target hii itakusaidia kuwa na Self motivation
Bila kujua lengo lakuweka pesa uwezi kuwa na nidhamu ya ku-save
Unatakiwa uandae Goals kwamba nahitaji nisave ili ninunue mfano Gari or Simu nk...... Njia hii inakusaidia kuongeza Ujasili
Ands of the day kusave pesa inakua ndio sehemu yako ya maisha.....
Hii naitumia hata mimi kwa week naweka 32000tsh baada ya mwaka mnavunja, hope mwaka huu mwezi wa 8 nitakuwa pazuri ameen.... maana ilianza tangu mwezi wa 8 hadi mwezi wa 8 inakuwa imetimia mwaka, chuo namaliza mwezi wa 6 mwaka huu so baada ya miezi miwil naenda fata changu+ faida na hela ya mchezo ambayo ulianzishwa kwa ajili ya kusaodoa member mwenye shughuli kama ndoa, mahafali n.k niliwaomba niwe wa mwisho hope nitakuwa pazuri na mtaji nishapata.. saving from boom(heslb)...Mimi natumia njia ya kununua hisa VICOBA, kila wiki mwanachama lazima anunue hisa walau moja usipofanya hivyo ni faini.
Njia nzuri sana hii, unajikuta unaweka akiba kwa lazima
Okay..will dondio hio hio ya body spray. mpaka umevunja means umezamilia kabisa kulivunja
Mm pesa yangu ni ndogo sana abt 520k nachukua 270k nasevu kwa kununua pound au dola na inayosalia ndo matumiz japo ni ngumu sana ila najitahid,lakn pia nikipata viposho kila kiasi kinachozidi elfu 80 nasevu,posho isipozidi hicho kiasi natumia kawaida ili kupunguz ukali wa maisha,,
Pia Kuna njia ya kununua vipande vya UTT bado nafuatilia nikijiridhisha ntaitumia hii pia,lengo langu nisave ndani ya miaka 2 Kuna biznec nimei target
Nyumbani
Mkuu hizo Pound na Dolla nakushauri usiwe unahifadhi nyumbani maana hayo mahela huwa yanaenda na series baada ya mda yanakuwa hayatumiki... Unaweza ukawa na dola ya mwaka 2014 ukaenda siku kubadili upewe tzs ukaambiwa hela hiyo haitumiki tena ukawa umekula hasara, either ufungue akaunt ya dola benki ziwe zinakaa benki utakuwa salama... Kajiunge tu UTT Umoja Fund ni bonge moja la njia salama kutunza fedha na kuwekezaNyumbani
This is the one am using too.Sio siri tunafanya hiv na wife tangu nalipwa mshahara wa 400k but mpaka leo my quarter acre with house on it , worth not less than 50Mmie nina mbinu ambayo naitumia katika kazi kama za ujenzi ambayo uwa sifanyi saving kama hizi mlizozizoea za kuweka fedha kwenye kibubu au mpesa. Nachofanya ni kuandaa ramani na kisha makadirio ya ujenzi (BoQs) kisha nongea na wauza vifaa nakuwa napeleka fedha kidogo kidogo zikikamilika nachukua vifaa kuanzia msumari, nondo mpk cement uwa nafanya hivi. Kwa kweli imenisaidia mpaka sasa nimekuwa kimasamaki Fulani hivi nyumba Zaidi ya nne
Poa mkuu kwan wanabadilisha kila mda gani? Hiyo ya UTT umoja fund nitaufanyia kaziMkuu hizo Pound na Dolla nakushauri usiwe unahifadhi nyumbani maana hayo mahela huwa yanaenda na series baada ya mda yanakuwa hayatumiki... Unaweza ukawa na dola ya mwaka 2014 ukaenda siku kubadili upewe tzs ukaambiwa hela hiyo haitumiki tena ukawa umekula hasara, either ufungue akaunt ya dola benki ziwe zinakaa benki utakuwa salama... Kajiunge tu UTT Umoja Fund ni bonge moja la njia salama kutunza fedha na kuwekeza
Sent using Jamii Forums mobile app
Muoga wa maisha weweBora kuweka akiba.