Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 8,774
- 13,566
- Thread starter
-
- #21
Hapo mimi nasinzia na kusinzia.Hollywood.
Searching ( family).
Binti anapotea. Huyu binti anakaa na baba yake. Mama yake alaifariki kwa Kansa. Polisi hawana maelezo na majibu sahihi juu ya kupotea kwa mtoto. Babaye anaacha kazi zote anaanza kumtafuta mwanaye. Anatumia mitandao ya kijamii na location za simu amabazo mara nyingi kwa wezentu hizi huwa on.
Basi mzee anaanza kupata lead kwa wanfunzi wenzake shuleni....Mara kupitia location za simu...mara mawasiliano yao ya mwisho maanayake huwa kila baada ya muda fulani huwa wanautaratibu wa kutumiana msg baba na mtoto....mara anapata lead ya kupitia secret camera alizo instal nyumbani mwake.... ( hapa suspect ni kaka yake)...mara kupitia mitandao anapata lead ya Dada anayefanya kazi ktk kibanda cha baga sijui...kisha lead hii inapotea.
Polisi wanafanya search ktk misitu ( park) amabyo alionekana mara ya mwisho. Polisi inathibitisha kuwa hakuna kitu msituni.....mzee anapagawa...anakaa chini anatulia..anaanza kufuatilia vizuri anakuja kupata lead kuwa yule askari( detective, aliyeshikiria kesi) ni yule yule aliyekuwa anawasiliana na mwanaye ktk mitandao ya kijamii.
Anaanza kumfatilia anagundua kuwa yule askari ali volunteer ktk ile kesi haikuwa yake, very unsual, akaanza Ku m suspect. Ktk kufuatilia zaidi ikaja gundulika kuwa askari yule alitengeneza mazingira yote ya kesi...baada ya mwanaye ( mtoto wa detective) alikutana na yule aliyepotea ktk mazungumzo kwa bahati mbaya akampush akaanguka ktk korongo palepale park lakini yule detective aliwaambia watu kule walishasachi na hawakuona kitu. Yote alifanya kumlinda mtoto wake asiende jela....IPO vizuri..sana.
Sijui kama nitaweza kuwatch