Share movies au series na mahudhuhi kwa kifupi.

Share movies au series na mahudhuhi kwa kifupi.

Hollywood.
Searching ( family).

Binti anapotea. Huyu binti anakaa na baba yake. Mama yake alaifariki kwa Kansa. Polisi hawana maelezo na majibu sahihi juu ya kupotea kwa mtoto. Babaye anaacha kazi zote anaanza kumtafuta mwanaye. Anatumia mitandao ya kijamii na location za simu amabazo mara nyingi kwa wezentu hizi huwa on.

Basi mzee anaanza kupata lead kwa wanfunzi wenzake shuleni....Mara kupitia location za simu...mara mawasiliano yao ya mwisho maanayake huwa kila baada ya muda fulani huwa wanautaratibu wa kutumiana msg baba na mtoto....mara anapata lead ya kupitia secret camera alizo instal nyumbani mwake.... ( hapa suspect ni kaka yake)...mara kupitia mitandao anapata lead ya Dada anayefanya kazi ktk kibanda cha baga sijui...kisha lead hii inapotea.

Polisi wanafanya search ktk misitu ( park) amabyo alionekana mara ya mwisho. Polisi inathibitisha kuwa hakuna kitu msituni.....mzee anapagawa...anakaa chini anatulia..anaanza kufuatilia vizuri anakuja kupata lead kuwa yule askari( detective, aliyeshikiria kesi) ni yule yule aliyekuwa anawasiliana na mwanaye ktk mitandao ya kijamii.

Anaanza kumfatilia anagundua kuwa yule askari ali volunteer ktk ile kesi haikuwa yake, very unsual, akaanza Ku m suspect. Ktk kufuatilia zaidi ikaja gundulika kuwa askari yule alitengeneza mazingira yote ya kesi...baada ya mwanaye ( mtoto wa detective) alikutana na yule aliyepotea ktk mazungumzo kwa bahati mbaya akampush akaanguka ktk korongo palepale park lakini yule detective aliwaambia watu kule walishasachi na hawakuona kitu. Yote alifanya kumlinda mtoto wake asiende jela....IPO vizuri..sana.
Hapo mimi nasinzia na kusinzia.
Sijui kama nitaweza kuwatch
 
Bollywood
Barfi
Familia fulani yenye binti mwenye matatizo ya akili inahamia ktk mji fulani. Huko inamkuta kijana bubu na kiziwi ambaye anakuwa na mazoea na yule mtoto was ambaye ni mgonjwa wa akili. Mwushowe kijana anasingiziwa kambaka yule binti. Ni movie nzuri. View attachment 975731
Kwenye Bollywood tu hapo huwa sibanduki,
But napenda za kisasa... Hii naona itakua ya zaman kidogo.

Mpya za ndani ya hii miaka 5 ya hapa mwisho, ziko vizur hatar.
 
Kama hukuwahi kupenda Bollywood movie, na kuona hawajui kutunga story,
but nakwambia ndio waigizaji wenye filamu za akili za bila kutumia vifaa vya kiteknologia kama wazungu.
Unaweza kuapply mawazo yao hata hapa bongo.

Angalia hii alafu utanipa majibu.

Allu arjun_Jurayi.
Pakua mwenyewe au

Imetafasiliwa
Kwa linki hii hapa
 
Kwa sisi wengine movie si mwaka iliyotoka bali ni ubora wakr au jinsi ninavyoikubali. Ndiyo maana Mara nyingi mtu anaamua kurudia kutizama movie fulani.
Kwenye Bollywood tu hapo huwa sibanduki,
But napenda za kisasa... Hii naona itakua ya zaman kidogo.

Mpya za ndani ya hii miaka 5 ya hapa mwisho, ziko vizur hatar.
 
Ni kweli,

Mimi napenda kuona mambo magumu yakifanikishwa na star wa movie.

Na sio shida, mateso, kusingiziwa alafu mwishoni sioni baya linalompata aliyefanya kosa, huwa hamu ya movie inaniisha
Au mambo ya kusikitsha mwanzo mwisho huwa sipendi movie za dizain hyo.

Bollywood mpya hakuna ubakaji kama zamani.
Kwa sisi wengine movie si mwaka iliyotoka bali ni ubora wakr au jinsi ninavyoikubali. Ndiyo maana Mara nyingi mtu anaamua kurudia kutizama movie fulani.
 
Bongo movie: Niite mama, Safari ya Gwalu, Siri za Familia (1,2&3)
Kenya: Mother in Law (series)
Nigeria: Billionaires’ Club
South Africa: Sarafina
Hindi: 3 idiots, Naagin (1)
UK: Harry Potter (1-6), Merlin
US: Best man, Hunter Killer, Black Panther, Sound of Music, 24, Not easily broken
Korea: Jewel in the palace, painter of wind, Iris
 
Bongo movie: Niite mama, Safari ya Gwalu, Siri za Familia (1,2&3)
Kenya: Mother in Law (series)
Nigeria: Billionaires’ Club
South Africa: Sarafina
Hindi: 3 idiots, Naagin (1)
UK: Harry Potter (1-6), Merlin
US: Best man, Hunter Killer, Black Panther, Sound of Music, 24, Not easily broken
Korea: Jewel in the palace, painter of wind, Iris
Hindi: 3 idiot_by Amir khan the king of Bollywood.
Maisha ya shule fundisho zuri sana na
Mapenz.

Hata mala mia hyo movie mm naangalia.
 
Kusimulia siwez ila these below so far nmeona kwangu nzur

Jack Ryan - Series
Body Guard - Series
911 - Series
Seal Team - Series
F.B.I - Series
Narcos Mexico - Series

Night School - Movie ( Best movie for me 2018)
Peppermint - Movie
John English - Movie
Hunter Killer - Movie
Mowgli - Movie

Nb Natafuta movie inaitwa Paskal mwenye link naomba
 
Hindi: 3 idiot_by Amir khan the king of Bollywood.
Maisha ya shule fundisho zuri sana na
Mapenz.

Hata mala mia hyo movie mm naangalia.

Daaah yule jamaa kweli fundi. Alimnyoosha yule bwana alikuwa na lafudhi ya kiganda [emoji23]
 
Hollywood
Title: A walk to remember
Hii movie inahusisha maisha ya shule (high school) ambapo kuna changamoto nyingi ie bullying, pride, ukorofi, na mengine mengi.
Basi kuna dada (main character) alikuwa bullied sana shule kutokana na jinsi alivokuwa anajiweka weka (Nguo ndefu, upole, kutokuwa ktk magroup ya kijinga) afu alikuwa mtoto wa mchungaji
Siku zikaenda akatokea kufall kwa moja ya masharobaro wa hio shule ndo ukawa mwanzo wa utamu wa movie[emoji4], mkaka akamuacha demu alokuwa nae before, akabadili group alokuwa nalo yaani yeye mda wote ni yupo na mpenzi wake huyo mpya ambae ndo main character ( yaani kwakweli hapa utajifunza nguvu ya mapenzi ktk kumbadili mtu) mkaka alibadilika totally... Akaanza penda shule dah.
Basi bhana mbeleni ikagundulika kuwa yule dada alikuwa hajiweki smart chuo kwa vile alijua anakaribia kufa so hakutaka mtu ampende pale shule ila ndo ikawa bahati mbaya amefall kwa yule mkaka.
(Utamu mwingine ukaanza sasa[emoji4][emoji4]) the guy anafight mpenz wake asife. (Hii movie ukiangalia afu usilie we ni komandooo) bahati mbaya huyu mdada akafa bhana.
Hii movie ilinifundisha mengi aisee. Kwanza tusidharauliane, yaani humu mitaani tunapita inabidi tuwe Wema kwa kila mtu, maana hatujui tunaokutana nao wamebeba misalaba gani ikiwemo magonjwa na tabu nyingine. Huwezi jua tabasamu lako kwake litamsaidiaje!!!
Kingine mapenzi ya kweli yapo bhana...hawa watu walipendana sana hadi nikaona wivu.
Ni movie nzuri ya kuangalia, hasa hasa na mpenzi wako[emoji4]
 
Back
Top Bottom