Share movies au series na mahudhuhi kwa kifupi.


Dah umenikumbusha hii movie...Mandy Moore ndiye alikuwa binti wa pastor na kasweta kake kale
 
[emoji23][emoji23][emoji23] yes Jarmie. Wenzie wanamkejeli like hello Jarmie I like your sweater[emoji23][emoji23] ye hana habari.
Dah umenikumbusha hii movie...Mandy Moore ndiye alikuwa binti wa pastor na kasweta kake kale
 
Zikiwa nzur, tupeni majibu labda na mm nitashawshka
Maana mm kichwan ninachojua ni Bollywood na action movie tuu
 
Designated survivor: series
Hii ni series inayomuhusu Tom kirkman(kiefer sutherland) ambae anakua president wa united state baada ya shambulio la kigaidi la bomb kuua cabinet nzima ya executive government
Tom kirkman anakua president bila kutegemea na bila uzoefu wowote baada ya kusalimika kwenye shambulio hilo na kwa mujibu wa katiba ya marekani top government official anayesalia baada ya vifo vya top officials yeye atachukua nafasi kama president.
Tom kirkman anapata changamoto kubwa ya kuivusha marekani katika majanga tofauti bila ya kua na uzoefu wowote na bila kutegemea.
 
Nina GB 4 hapa zinatakiwa ziishe leo
 
Nimetoka ku watch hyo movie ya
A WALK TO REMEMBER, duu noma sana, uaminifu (faith) na ukweli ni kitu kizur na muhimu sana.

Nimeikumbuka movie ya LET IT SHINE- Hollywood

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Movie name_Baby driver.

Nimeipenda sana hii movie mzungu hapa alijarbu kunikosha ina
Action
Drama

Na main character ni mmoja, very funny.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…