Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Story zip ni nzur zaidi?
Hollywood
Title: A walk to remember
Hii movie inahusisha maisha ya shule (high school) ambapo kuna changamoto nyingi ie bullying, pride, ukorofi, na mengine mengi.
Basi kuna dada (main character) alikuwa bullied sana shule kutokana na jinsi alivokuwa anajiweka weka (Nguo ndefu, upole, kutokuwa ktk magroup ya kijinga) afu alikuwa mtoto wa mchungaji
Siku zikaenda akatokea kufall kwa moja ya masharobaro wa hio shule ndo ukawa mwanzo wa utamu wa movie[emoji4], mkaka akamuacha demu alokuwa nae before, akabadili group alokuwa nalo yaani yeye mda wote ni yupo na mpenzi wake huyo mpya ambae ndo main character ( yaani kwakweli hapa utajifunza nguvu ya mapenzi ktk kumbadili mtu) mkaka alibadilika totally... Akaanza penda shule dah.
Basi bhana mbeleni ikagundulika kuwa yule dada alikuwa hajiweki smart chuo kwa vile alijua anakaribia kufa so hakutaka mtu ampende pale shule ila ndo ikawa bahati mbaya amefall kwa yule mkaka.
(Utamu mwingine ukaanza sasa[emoji4][emoji4]) the guy anafight mpenz wake asife. (Hii movie ukiangalia afu usilie we ni komandooo) bahati mbaya huyu mdada akafa bhana.
Hii movie ilinifundisha mengi aisee. Kwanza tusidharauliane, yaani humu mitaani tunapita inabidi tuwe Wema kwa kila mtu, maana hatujui tunaokutana nao wamebeba misalaba gani ikiwemo magonjwa na tabu nyingine. Huwezi jua tabasamu lako kwake litamsaidiaje!!!
Kingine mapenzi ya kweli yapo bhana...hawa watu walipendana sana hadi nikaona wivu.
Ni movie nzuri ya kuangalia, hasa hasa na mpenzi wako[emoji4]
Dah umenikumbusha hii movie...Mandy Moore ndiye alikuwa binti wa pastor na kasweta kake kale
[emoji23][emoji23][emoji23] yes Jarmie. Wenzie wanamkejeli like hello Jarmie I like your sweater[emoji23][emoji23] ye hana habari.
Yaani, aliwanyoosha...hawakuamini walichokuwa wanakiona.Alafu akapendwa na mjanja wao
Shukrani mzee baba. Zitafute na hizi
Jack Ryan na Ozark
Naikubali sana hii dabang niBollywood movie-star Salman khan.
Nipo nawatch now- Channel ya swahili Bollywood.
Iko poa.
Mapenz
Ndoa
Siasa
Na ugomvi wa kifamilia.
Two main character- two brothersView attachment 975654
Thanks CuzMalcom Lumumba Da'Vinci na James Comey kuna hii site huwa nasoma Comic books zote zinazogeuka movies!.. Mkipata muda muwe mnaenda search comic zake!.. Anzeni na hii
https://readcomiconline.to/Comic/John-Wick/Issue-1?id=125909
https://readcomiconline.to/Comic/High-Level/Issue-1?id=150324