JITU LA MIRABA MINNE
JF-Expert Member
- Mar 28, 2015
- 726
- 476
Ngoma inogile narudi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu samahani, hapa mrejesho yaani faida ni zipi na baada ya muda gani? Je kwa bigginers waanze na utaratibu upi kwa aina hii ya zoezi? ?msaada pleaseFanya push ups hizi.
Pushap na magoti yamegusa chini. Seti tatu kila seti iwe na raundi 20.
Kupumzika kati ya seti ma seti iwe sekunde 20.
Pushap magoti juu ya benchi (unaweza ukaweka kitandani). Seti tatu kila seti moja iwe na raundi 20. Kupumzika kati ya seti na seti ni sekunde 20.
Pushap miguu juu ya benchi. Seti tatu kila seti moja iwe na raundi 20. Kupumzika kati ya seti na seti ni sekunde 20.
Pushap za kawaida. Seti 3, raundi 20, kupumzika kati ya seti na seti ni sekunde 20.
Ila kupumzika kwako usitoke kwenye mkao wako wa pushap, utabaki umeganda hivyo hivyo sekunde 20 za kupumzika zikiisha unaanza tena.
Halafu njoo na feedback
Katika mazoezi maumivu hua hayaji ghafla huanza polepole kisha ukiyapuuzia ndiyo huongezeka.Mimi nilianza zoezi kwa week tatu la squat za kawaida 75, Seti 3 kila moja raundi 25, halafu push up 60 Seti 4 kila moja raundi 15, nilianza taratibu kisha maximum ndiyo nilifikia hapo, ila hiyo week ya tatu niliumwa sana mgongo, na mwili mzima kama homage, ilishindikana kabisa kuendelea nimepumzika kama week sasa, nataka kuanza tena, je wapi nilikosea? ? Ushauri mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Push ups za hivi misuli ya msingi itakayoguswa ni ya kifua, secondary muscles ni mabega, triceps na mgongo.Mkuu samahani, hapa mrejesho yaani faida ni zipi na baada ya muda gani? Je kwa bigginers waanze na utaratibu upi kwa aina hii ya zoezi? ?msaada please
Asante sana nami imenisaidia
Share Nasi Hapa Cheat Code Ya Mazoezi YoyoteMkuu asante kwa Mada nzur naomba msaada mazoez ya Tumbo
Mkuu naomba uniwekee picha ya hili zoezi! nilione.Angalia uzito umaotumia, idadi ya reps na kama hua unakaa jinsi squat inavyotakiwa kukaa ukiwa unaifanya.
Miguu iwe imetanuka usawa wa mabega yako,Mkuu naomba uniwekee picha ya hili zoezi! nilione.
Ahsante sana mkuuMiguu iwe imetanuka usawa wa mabega yako,
View attachment 562277
mgongo wako uwe umenyooka yaani ukiwa unashuka chini isiwe kama vile unataka kuutua mzigo ambao upo shingoni.
Ukishuka iwe kama vile unataka kukaa.
View attachment 562278
You seem to be a very good fitness trainer!Pata muda wa kupumzika
Usikate tamaa kama hujaona matokeo mapema
Mlo sahihi kwa mazoezi sahihi
Usijilazimishe baadhi ya mazoezi, fanya kidogokidogo
Kuongezeka kwa mafuta na kuizidi misuli ndiyo hupelekea sehemu kuongezeka mpaka kuning'inia.Mkuu naomba nielekeze mazoez mazuri ya kupunguza mikono na nyama za mgongo(bra straps kwa kina dada)
sio kihivyo sana, bado najifunzaYou seem to be a very good fitness trainer!