Kikawaida hizo lan port zina connect na vifaa vyengine ila hazipokei network ya nje. Router zinakuwa na Wan port ambayo inapokea network ya nje.
Sema kwenye picha nimecheki router yako haina hio wan port.
Ila nimesoma mahala kuna router zinakuwa na setting ya kubadili lan kuwa wan, cheki setting za router yako mkuu maybe ipo.