Mwl.RCT
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 14,624
- 20,666
Fuata hatua hizi:Hiyo link haifunguki kiongozi
1. Tengeneza GMAIL account.
2. Click sign up Now.
3. Kisha chagua GMAIL kama option yako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fuata hatua hizi:Hiyo link haifunguki kiongozi
Gmail nnayo ila nikibofya hapo sign up now inzunguka tu labda kwa vile natumia simu. Nitajaribu kuifungua kwa kutumia computer, asante hata hivyoFuata hatua hizi:
1. Tengeneza GMAIL account.
2. Click sign up Now.
View attachment 3205202
3. Kisha chagua GMAIL kama option yako.
Hii kwa midjourney pia inafunction vzuri?Prompt Used: Click Spoiler
- Ndio inafanya kazi.Hii kwa midjourney pia inafunction vzuri?
Kama hatutojali mkuu naomba uweke maelekezo uliyoyalisha hiyo AI mpaka ikaleta picha kma hiyo , ili nione mapito yako maana Mimi nipo interested sana na kutoa picha zenye . mandhari tukivu lkama hizo na nimekuwa nikizitengeneza sana mpaka watu wanazisifia kwa uzuri ila hizo zako nimezipenda sana.
Na video pia unatengeneza free kwa Mb tu kupitia AI ?With No edit:
View attachment 3204966
Kama hatutojali mkuu naomba uweke maelekezo uliyoyalisha hiyo AI mpaka ikaleta picha kma hiyo , ili nione mapito yako maana Mimi nipo interested sana na kutoa picha zenye .
16:9 A highly detailed and realistic depiction of a charming stone cottage nestled in a lush, vibrant garden with Mount Kilimanjaro majestically rising in the background. The scene is captured using a Sony Alpha A6500 camera with a 1.4f aperture, resulting in a stunningly shallow depth of field and a beautiful bokeh effect that blurs the background subtly, emphasizing the intricate details in the foreground. The two-story stone cottage features rustic stone walls, a red-tiled roof, and wooden-framed windows and doors. A small patio in front of the house has a cozy seating area. The garden is meticulously landscaped, with vivid, colorful flowers in red, pink, orange, and purple hues, including roses, hibiscus, and lavender, creating an enchanting foreground. The stone-paved pathway winds elegantly through the garden, bordered by small rocks and leading to the house. Tropical plants, such as a palm tree and vibrant greenery, add to the tropical atmosphere. In the background, Mount Kilimanjaro…
Hapana sio free, natumia paid.Na video pia unatengeneza free kwa Mb tu kupitia AI ?
K
Amazing sana , haya maelezo ulitoa kichwani yote originally au mengine ulitumia mbinu nyingine? maana mimi nikiwa na idea ngumu kuieleza kwa English natuma translate then na copy na kupaste japo sometimes translate hawapangilii kama ninavyotaka ?
Hii hapa ya kolo na Uto wakitifuana vibaya sana
View attachment 2811853
Kolo hoi kwa kichapo
Siba Guvu moya
By MO
- Jaribu kufanya hivi kisha lete mrejesho:haya maelezo ulitoa kichwani yote originally au mengine ulitumia mbinu nyingine?
Shukrani mkuu ngoja nitulie , nifuate maelekezo yako Kisha nilete mrejesho In Shaa Allaah .- Jaribu kufanya hivi kisha lete mrejesho:
1. Fungua chatGPT (Katika hatua hii tunatumia ChatGPT kama rough paper, ili kuweka vyema idea ya nini tunataka).
- Anza kwa kuandika hivi: [Your task: With Clear and well-structured responses Translate below input from "Swahili" To "English"]:
- Baada ya alama( : ), andika mawazo yako kwa kina kwa jinsi unavyohitaji kwa kimatumbi chetu.
- ChatGPT itaakupa kwa lugha husika, English.
2. Kupata picha yenye kiwango fuatisha maelekezo post #206 hapa : Share picha uliyotengeneza kwa AI (Akili Mnemba)
Lete mrejesho
Nitapitia na kukuelekeza zaidi nini hakijafanyika kwa usahihi. (Angalizo usipoleta mrejesho sitojibu swali lolote kuhusiana na hii mada)
- Onesha Prompt ulizotengeneza
- Onesha picha ulizopata.
"A portrait of a Black woman farmer dressed in traditional attire, wearing a vibrant kanga and a blouse with the words 'Mkulima Bora' (meaning 'Better Farming') boldly printed on it. She stands confidently amidst her bountiful harvest, with fresh vegetables such as spinach and tomatoes displayed prominently behind her. Various grains are scattered around, symbolizing abundance. At her feet rests a hen, adding to the rustic and agricultural ambiance of the scene. The setting captures the essence of sustainable farming and celebrates the hard work and resilience of women in agriculture."
Nipe maneno uliyotumia nijaribu upande wangu.