Share picha uliyotengeneza kwa AI (Akili Mnemba)

Prompt Used: Click Spoiler
"A rustic scene of a traditional African mud-brick house with a thatched roof, glowing in the warm daylight. The walls are reddish-brown, crafted from earth and weathered by time. Two figures are visible; one near the front of the dwelling on the left looking toward a small table, and another further to the right in the background, walking. The surrounding land is dry and arid, scattered with sparse, low-lying vegetation. Mature trees with thin branches rise into the background. The light is bright and natural, illuminating the scene with a gentle warmth. The overall feeling is one of peaceful simplicity in a rural African setting."
 
Kama hatutojali mkuu naomba uweke maelekezo uliyoyalisha hiyo AI mpaka ikaleta picha kma hiyo , ili nione mapito yako maana Mimi nipo interested sana na kutoa picha zenye . mandhari tukivu lkama hizo na nimekuwa nikizitengeneza sana mpaka watu wanazisifia kwa uzuri ila hizo zako nimezipenda sana.

Nataka niongeze kitu kipya katika kupangilia maneno ili nipate vitu vizuri zaidi kwa kupitia maneno uliyotumia kwenye picha hizo.
 

Prompt Spoiler.
A vibrant kitchen filled with morning light showcases a white marble countertop where a cheerful woman with braided hair prepares a mixture. She carefully adds a teaspoon of soft baby powder into a large mixing bowl, her hands gracefully stirring the contents. Colorful ingredients surround her, including a jar of honey and a bunch of fresh fruits, capturing the joyful spirit of cooking. Her focused expression reflects her passion for creating something special, with a cozy ambiance enhancing the moment.
 
Kama hatutojali mkuu naomba uweke maelekezo uliyoyalisha hiyo AI mpaka ikaleta picha kma hiyo , ili nione mapito yako maana Mimi nipo interested sana na kutoa picha zenye .

 
haya maelezo ulitoa kichwani yote originally au mengine ulitumia mbinu nyingine?
- Jaribu kufanya hivi kisha lete mrejesho:
1. Fungua chatGPT (Katika hatua hii tunatumia ChatGPT kama rough paper, ili kuweka vyema idea ya nini tunataka).

- Anza kwa kuandika hivi: [Your task: With Clear and well-structured responses Translate below input from "Swahili" To "English"]:

- Baada ya alama( : ), andika mawazo yako kwa kina kwa jinsi unavyohitaji kwa kimatumbi chetu.

- ChatGPT itaakupa kwa lugha husika, English.

2. Kupata picha yenye kiwango fuatisha maelekezo post #206 hapa : Share picha uliyotengeneza kwa AI (Akili Mnemba)

Lete mrejesho
  • Onesha Prompt ulizotengeneza
  • Onesha picha ulizopata.
Nitapitia na kukuelekeza zaidi nini hakijafanyika kwa usahihi. (Angalizo usipoleta mrejesho sitojibu swali lolote kuhusiana na hii mada)
 
Shukrani mkuu ngoja nitulie , nifuate maelekezo yako Kisha nilete mrejesho In Shaa Allaah .

Nimegundua kwamba simu tu ukiwa mjanja na ukapata miongozo sahihi unaweza kufanya vitu vikubwa kirahisi tu kwa bando lako , mfano nilielekezwa kutumia Canva sasa hivi nimekuwa Mtaalamu kwa free mode tu natoa vitu vikali kama posters na Matangazo ya biashara n.k mpaka watu wanadhani Mimi graphics designer natumia Kompyuta kumbe ni android kimchongo tu , na hata hizi picha wengi za AI wengi hawazijulii wanabaki kuvutiwa nazo ninapowekaga status na wengine wananitafuta kumuomba niwatengenezee na wao.

Yote kwa yote inahitaji kichwa kitulie ili kupata vizuri zaidi na natamani nijue mautundu zaidi mbalimbali kupitia simu janja na AI kwa ujumla.
 
Chukua hii
Code:
"A portrait of a Black woman farmer dressed in traditional attire, wearing a vibrant kanga and a blouse with the words 'Mkulima Bora' (meaning 'Better Farming') boldly printed on it. She stands confidently amidst her bountiful harvest, with fresh vegetables such as spinach and tomatoes displayed prominently behind her. Various grains are scattered around, symbolizing abundance. At her feet rests a hen, adding to the rustic and agricultural ambiance of the scene. The setting captures the essence of sustainable farming and celebrates the hard work and resilience of women in agriculture."

---
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…