Share picha uliyotengeneza kwa AI (Akili Mnemba)

Sina account ya Microsoft, nimeanda kwenye bing kama ukivyoelekeza wakataka ni log in kwanza aua ni create account ,nikabofya kwenye kucreate new na kufuata hatua nyingine mpaka kufika stage ya kutumiwa verification code kwenye email ,hapo nikasubiri sana mpaka ikaja baada ya hapo mbele watataka ni verify kama Mimi ni human nikaletewa image kama kumi ni match na walizoniwekea kila nikaribu wapi inaonyesha nimekosea .

Na nimerety mara kibao nashindwa kwanza image zenyewe hazieleweki optlll ambazo wanataka nimatcha za ya upande wa pili . Nimeshindwa sasa na kubwaga manyanga .
 
Aisee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…