Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Akaniambia hatumii offensive language, pia yeye sio binadamu hana feelingsUkimwambia matusi anajibu nini???? Mi nlimuuliza fantasy zake akaona ohooo makubwa haya akaniambia am not a human🤣🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akaniambia hatumii offensive language, pia yeye sio binadamu hana feelingsUkimwambia matusi anajibu nini???? Mi nlimuuliza fantasy zake akaona ohooo makubwa haya akaniambia am not a human🤣🤣🤣🤣
Asante. Nipe ABC zake. Maana naona kama ni App. Ni free au hakulipiaKuna Mtambo wa Gencraft Iko realistic sana
Iko vizuri sana na ni kweli ni App..Asante. Nipe ABC zake. Maana naona kama ni App. Ni free au hakulipia
Asante sana mkuu.Iko vizuri sana na ni kweli ni App..
Ila kuna baadhi ya Feature ni za kulipia..
Ila japo kama hutalipiwa unapewa 10 attempt Prompt Japo zinakuwa limited kwa baadhi ya feature
View attachment 2822838View attachment 2822841
Iko vizuri sana na ni kweli ni App..
Ila kuna baadhi ya Feature ni za kulipia..
Ila japo kama hutalipiwa unapewa 10 attempt Prompt Japo zinakuwa limited kwa baadhi ya feature
View attachment 2822838View attachment 2822841
Hii umeprompt nini mkuu?
A family laughing while eating at the garden.Hii umeprompt nini mkuu?
naona watu wanaserviana matunda na Veges tu
nitengenezee picha mkuu yenye jina BACHUTA FAMILY
dalali msomi ametia kiberiti passo yetu ?