Share picha uliyotengeneza kwa AI (Akili Mnemba)

Picha za AI bado hazina creativity Kama za kuchora na mkono.

AI itafika mbali Ila Kwa upande wa kuchimba maarifa ntaendelea Ku so ma vitabu Kwa Sana.

Na ntatumia AI Kama njia ya kujifunza lugha za kigeni mbalimbali Kama kijerumani , n.k

Together JF
 
AI zinatumia ile kanuni(kama) ya GIGO, ikiwa na maana kuwa utapata matokeo bora iwapo utatumia prompt iliyobora.
Too powerful
Angalia hii Prompt niliyotumia

-

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…