DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Picha za AI bado hazina creativity Kama za kuchora na mkono.
AI itafika mbali Ila Kwa upande wa kuchimba maarifa ntaendelea Ku so ma vitabu Kwa Sana.
Na ntatumia AI Kama njia ya kujifunza lugha za kigeni mbalimbali Kama kijerumani , n.k
Together JF