Share ujuzi wako katika Kupunguza Gharama za Ujenzi

Share ujuzi wako katika Kupunguza Gharama za Ujenzi

Kwanza hakikisha unasimamia ujenzi wako mwenyewe au Mke wako kama umeoa na awe serious na kazi utaokoa pesa nyingi.

Kumbuka katika ujenzi kila elfu 10 ina impact sana.

Mfano zilipelea mbao 100. Nikamtuma fundi akaniletee. Fundi hakujua kama nipo site. Akaleta Mbao 70. Mbao 30 akanipiga. Tayari 150,000 zikaliwa kimzaha. Fikiria kama nisingesimamia toka mwanzo ingekuwaje?
Daaah hatareeee mno
 
Back
Top Bottom