Share uzoefu wako ulivyom-date na 'Tomboy'

Share uzoefu wako ulivyom-date na 'Tomboy'

Dunia inaenda speed sana, hizi topics zina airtime sio poa hata kidogo!!
 
Nawasalimia kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Yapata miaka 2 kwenda mi3 sasa, nimekuwa na uhusiano wa kimapenz na Tomboy (Binti Massawe), ni binti mzuri sana yuko smart pia.

Huyu binti ni mshikaji sana na yuko real kwenye mapenzi, najivunia sababu mimi ndiye mpenzi wake wa kwanza na nilimkuta bikra.

Hawa watu tusiwaogope mapenzi wanayajua sana [emoji23][emoji23]. Achana kudate na hawa slayqueens.


Kipindi nasoma chuo darasani tulikuwa na binti mmoja mnaigeria tomboy, mtoto alikuwa wa kawaida kwa uzuri ila manjemba wakamuogopa kwa mtindo wa mavazi na michapo yake.

Baharia mimi nikasema hapa ndo pa kutokea. Mbona nilikula mema ya nchi! Tena kiulaini kabisa mtoto alikuwa mtamu hatari.
 
Back
Top Bottom