Share uzoefu wako ulivyom-date na 'Tomboy'

Stud!! [emoji848] mashikolo mageni,
Ndo nani huyo yakheeNitaileta siku moja lakini si kwa kuanzisha uzi jamani
Tomboy ni mwanamke anayeiga tabia za kiume kama kuvaa, kutembea, michezo ile inayoonekana hua wanacheza wanaume lakini haihusiani na yeye kudate na wanawake,

Stud ni ana tabia za Tomboy lakini yeye hudate na Wanawake tu.

Kwa ufupi tunasema Stud ni Lesbian na Tomboy anaweza akawa ni Lesby au asiwe Lesby.

Soon nitaanzisha uzi flani hivi nitakualika uje utoe ushuhuda wako maana nimekua interested na hiyo title ya story yako bibie. 🤓
 
Ivoooo, shukrani sana kwa elimu nzuri,
Basi mie huyo alikua Stud hakua Tomboy,

Huo uzi ukiweka ni tag nifunguke yangu na mie.
 
Usikose kunitag kwenye huo uzi. Bebeeeeh.
 
Sisomagi stori ndfu ila mwamba umenishawishi….adventure nzuri sana..Nahisi ilitokea Arusha hii...enjoyment ya nguvu
 
acha kutoomber vitoto
 
Arusha Kuna tomboys wa kutosha. Tatizo wanaendekeza bangi na konyagi Sana ndo umle
 
Siku ukimzingua alaf akakuambia em tuongee kiume ndo utajua kua hujui
 
People confuse between Tomboy and Lesbian,
A woman can be a Tomboy not a Lesbian, and can be a Lesbian not a Tomboy and can be both.
Most of lesbians they're tomboy,hasa wale wanaact kama wanaume kwenye mahusiano yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…