Share with us....

Share with us....

kilahunja dear thats really cute!! U know inapendeza sana when u look back on how u met.. Story ya kuwapa watoto baadae hiyo.. Sometimes the good things come in a very strange way!

oooh yeah..ts like a fery tale, u found ua patner in mysterious way..i pray he bkam my husband.
 
acha tu shosti.. Ushakutana na mtu anaongea sana hata visivyofaa kuongeleka mpaka unaboreka halafu anacheka mwenyewe while you are bored... I experienced that once ika ruin the whole blind date trend! .mmmh still hopin for the good ones tho!

mbaya zaidi ni pale mtu anapoona anakufurahisha.....kumbe anakuboa......

He didnt turn out, nikasubiri weee
Hadi make up ikwapwaya

Na hii niite date au month?

? ? ! Mie nishaamka ! Unashaurije niendelee kuuziba mdomo ? Au niwaamshe waliobado usingizini ?
 
acha tu shosti.. Ushakutana na mtu anaongea sana hata visivyofaa kuongeleka mpaka unaboreka halafu anacheka mwenyewe while you are bored... I experienced that once ika ruin the whole blind date trend! .mmmh still hopin for the good ones tho!

mie nimechekaje loh! witu vyengine vigumu kufikirika
 
ha ha ha umenikumbusha mbali.....nilipita tumbo la kuhara wakati namsubiria...she turned out to be very social.had a goodnight
 
It was one Great date... (ila niharakishe kusema hatukuenda third base....lol... If you know what I mean):eyebrows:
 
mh nakumbuka that feeling, n the date was real gud the guy was perfect yaani an "ideal man", only to find out after sumtime kua he was married. dah
 
keep talking...
Am listening..

Hapo ulipopaacha mie ndo huwa napapenda zaidi

It was one Great date... (ila niharakishe kusema hatukuenda third base....lol... If you know what I mean):eyebrows:
 
Back
Top Bottom