yamindinda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2011
- 1,581
- 1,318
Barrick ni ajizi, tutawekeza wenyeweHivi tutakuja kupata mwekezaji wa level ya Barrick tena kweli?
Barrick ni majizi, tutawekeza wenyewe
Kama tulivyowekeza Stamico?Barrick ni ajizi, tutawekeza wenyewe
Ombeni madai yenu yawe ya kweli vinginevyo tutawafidia hiyo hasara.Polepole jamani! Mtamuua Tundu Lissu mjue.
walikuwa na faida gani....maana tusiangalie ukumbwa wa mwekezaji tuangalie na impact yake kwa taifa...kwenye kuchangia pato la taifa, kulipa kodi na kutoa ajiraHivi tutakuja kupata mwekezaji wa level ya Barrick tena kweli?
wewe ni mtanzania kweli?Ipo siku Tu, wazungu sio mazuzu kama muwaziavyo! Uzuri mikataba mlisaini wenyewe.
Hapana Mkuu.
Hivi tutakuja kupata mwekezaji wa level ya Barrick tena kweli?