Buyaka
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 1,705
- 1,953
Hizi ni habari mbaya kwa waliowekeza pesa zao Acacia.
Ambao sio sisi.
Shares za ACACIA zinauzwa London Stock Exchange, nani kati yetu alienda kununua hisa huko?
Haya maumivu ya wanahisa hayatuhusu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi ni habari mbaya kwa waliowekeza pesa zao Acacia.
Maduara unayoyaona huo ukanda ni machache sana yaliyopita mita 100. Mita 200 ni ya kutafuta kwa tochi.Paul Alex, mbona akina nyamigogo pale karumwa na mwakitolyo wanapeta tu, tutaichimba kwa moko
Salamu hizi ziwafikie BWM & JMK hata kama wapo mapumzikoni hawatakiwi kusumbuliwa.Share za ACACIA zazidi kuporomoka baada ya TRA kupeleka TAX invoice ya more than Tsh 450.4 trilioni ikiwa ni malimbikizo ya kodi, riba na adhabu kati ya mwaka 2000-2017.
View attachment 549957//www.ft.com/co…/eb9266b8-697b-3c21-98ad-74e1dd1c88aa…
Mambo tunayomfanyia Barrick kwa sasa dunia nzima ya wawekezaji it's a talk of town.Kwani kashuka toka mbinguni? Acha mawazo mgando.
Ni kweli kabisa, hatuwezi kupata mwekezaji anaye tunyonya kama BarrickHivi tutakuja kupata mwekezaji wa level ya Barrick tena kweli?
Barrick amekunyonya sehemu gani?Ni kweli kabisa, hatuwezi kupata mwekezaji anaye tunyonya kama Barrick
Paul kuna statement hii "Tanzania sent Acacia Mining Plc a tax bill equal to almost two centuries worth of the gold producer’s revenue" kule bloomberg. Kama taarifa hii ni kweli anachokitafuta baba jeska atakipata muda si mrefu ni suala la muda tu!Hivi tutakuja kupata mwekezaji wa level ya Barrick tena kweli?
Msikilize live sasa hivi Magu yupo TBC.Hivi katika washauri wa Mh. Raisi hakuna hata mmoja aliyesoma Corporate Finance? Achana na Uchumi, achana na uhasibu. Kama kuna mshauri huyo mwenye hiyo elimu asinge kubali mshauri this way ambapo mambo yanaharibika na nchi haitakuwa salama kiuchumi. Naona mnafurahia shares za acacia kuanguka, wengi wenu hamjui maana yake. Tutalipa gharama (we will pay the price) whichever the outcomes.
kunawatu vituko kweri. nyamigogo na karumwa wameajiri hata geologist mmoja?Paul Alex, mbona akina nyamigogo pale karumwa na mwakitolyo wanapeta tu, tutaichimba kwa moko
anapodanganya kiasi cha kipato, maana yake anataka kudanganya kiasi cha kodi anachostahili kulipa. huo ni unyonyajiBarrick amekunyonya sehemu gani?
Paul kuna statement hii "Tanzania sent Acacia Mining Plc a tax bill equal to almost two centuries worth of the gold producer’s revenue" kule bloomberg. Kama taarifa hii ni kweli anachokitafuta baba jeska atakipata muda si mrefu ni suala la muda tu!
NDIO HAYATUHUSU..KWA WAINGEREZA ITAKUA KISU KIMEPENYA KWENYE MFUPA...SIDHANI KAMA WATATUACHA SALAMA.Ambao sio sisi.
Shares za ACACIA zinauzwa London Stock Exchange, nani kati yetu alienda kununua hisa huko?
Haya maumivu ya wanahisa hayatuhusu.