Habar wadau
Hivi vitu viwili mm huwa sivielewi kabisa nilichogundua kuna kitu sikujui hapo ivo nikaona bora niulize ukienda kwenye mitandao km TTCL au SIMBANET nk wana internet za dedicated na wanadai speed haishuki na wala internet haikatiki ilabei yake sasa weeeh laki 5 per mouth not fair labda kwa ambao waeshatusua Maisha tuachane na io dedicated mm siiwezi tyje kwenye shared
Imternet iliosambaa zaidi ni hii ya shared gharama yake watu wengi wanaweza kuimudu mfano zuku TZS 69000 unapata internet unlimited 10Mbps sasa maswali yangy ni haya
Je watu 20 tukitumua router moja ilioconnectiwa na fiber ya 10Mbps speed itashuka ?
au wanaposemaje shared wanamaanisha speed itashuka iwapo external users watakuwa wengi > AU VIPI
External users namaanisha watu wengine wanaotumia Mtandao mmoja.
Internal users namanisha watu wanaotumia router moja