shared vs dedicated internet? Speed na idadi ya watumiaji

shared vs dedicated internet? Speed na idadi ya watumiaji

renamaizo

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2014
Posts
2,134
Reaction score
3,064
Habar wadau

Hivi vitu viwili mm huwa sivielewi kabisa nilichogundua kuna kitu sikujui hapo ivo nikaona bora niulize ukienda kwenye mitandao km TTCL au SIMBANET nk wana internet za dedicated na wanadai speed haishuki na wala internet haikatiki ilabei yake sasa weeeh laki 5 per mouth not fair labda kwa ambao waeshatusua Maisha tuachane na io dedicated mm siiwezi tyje kwenye shared

Imternet iliosambaa zaidi ni hii ya shared gharama yake watu wengi wanaweza kuimudu mfano zuku TZS 69000 unapata internet unlimited 10Mbps sasa maswali yangy ni haya

Je watu 20 tukitumua router moja ilioconnectiwa na fiber ya 10Mbps speed itashuka ?
au wanaposemaje shared wanamaanisha speed itashuka iwapo external users watakuwa wengi > AU VIPI

External users namaanisha watu wengine wanaotumia Mtandao mmoja.

Internal users namanisha watu wanaotumia router moja
 
Mtu anaposema shared up to 10mbps ina maana utapata speed hio ila kukiwa na watumiaji wengi itashuka.

Mfano mtaani kwenu waya uliokuja ni 1gbps na mpo wateja 10 wa 10mbps hapa wote mtapata 10mbps ila kama mpo 1000 wa 10mbps matumizi yakiwa mengi utaona inashuka inakuja 5 ama hata 2mbps.

Dedicated yenyewe ni uhakika hakuna External factor hapa, kama ni 10mbps utaipata hio hio.

Sema Fiber kibongobongo watumiaji wachache hata kama ni shared ngumu kukuta speed inashuka sana.
 
mkuu nimekusoma sana apo kwenye fiber je vipi kuhusu internet km superkasi ya voda 20Mbps kwa 115000 je watumiqji wakiwq 10 itashuka na vipi kuhusu zile fiber wanaweka range let say 10 to 20 Mbps or 20 to 60 Mbs

na kuhusu idadi ya watumiaji it means hata wale mnaotumia routers mijq kupata internet wanachukuliwa km users
 
User wa router ni shared hata kama ni dedicated. Kampuni inahusika kuhakikisha internet mpaka inapofika inakuwa na speed waliyo promise, matumizi yenu yote ya ndani ni shared. Kama ni 10mbps na user wawili wanatumia sawa sawa kila mmoja atapata 5mbps.

Supa kasi pia ni shared, ukienda kwenye website ya Voda wameandika up to.
 
Asante sana mkuu naendelea kupata shule lkn swali la mwisho ni hili mbona hapa ofisin tunatumia zuku fiber ya 69000 speed ni 10mbps lkn ajabu ni kwamba watumiaji tupo wengi km 10 hv na kilq nikiingia fast.com speed ni ile ile 1mbps kwq kila kifaa kiasi mpaka nikahisi huenda huenda zuku ni dedicated nikaleta uzi humu nikaumbuliwa na mdau mmoja nikagundua kuna kitu sijui hapa nikajifunze

au unaposema watumiaji wawil whqt the meaning maana unakuta huyu upo youtube yule whatsapp yule tiktok na ukiingia fast.com spews ni ile ile 10mbps
 
asante sana mkuu naendelea kupata shule lkn swali la mwisho ni hili mbona hapa ofisin tunatumia zuku fiber ya 69000 speed ni 10mbps lkn ajabu ni kwamba watumiaji tupo wengi km 10 hv na kilq nikiingia fast.com speed ni ile ile 1mbps kwq kila kifaa kiasi mpaka nikahisi huenda huenda zuku ni dedicated nikaleta uzi humu nikaumbuliwa na mdau mmoja nikagundua kuna kitu sijui hapa nikajifunze

au unaposema watumiaji wawil whqt the meaning maana unakuta huyu upo youtube yule whatsapp yule tiktok na ukiingia fast.com spews ni ile ile 10mbps
Mkuu kwanza Zuku wana offer ya ku double speed pengine mna speed zaidi ya 10mbps. Tafuta muda ukiwa mwenyewe kama jioni ama asububi hivi kupata uhakika wa speed.

Pili inategemea na wewe wakati unapima speed wenzako walikuwa wanafanya nini, mfano walikuwa wanaperuzi tu, kutuma email na mambo mengine madogo madogo ukipima speed haitakuwa ndogo sababu matumizi madogo hayawezi kustress hio 10mbps. Ila kama wanafanya matumizi makubwa kama Video conference, kustream video kama youtube na Nerflix, kustream online kama mpira, kudownload etc hapa ndio utaona ukipima speed itapungua sana.
 
Nimejifunza kitu. ila nina swali kwenu wakuu je wa huku mikoani mbona hizi huduma sizioni kabisa. mpaka leo kuna makampuni fulani bado wanaunga bando za line.. ni kwamba watoa huduma huku mikoani wamepatelekeza
User wa router ni shared hata kama ni dedicated. Kampuni inahusika kuhakikisha internet mpaka inapofika inakuwa na speed waliyo promise, matumizi yenu yote ya ndani ni shared. Kama ni 10mbps na user wawili wanatumia sawa sawa kila mmoja atapata 5mbps.

Supa kasi pia ni shared, ukienda kwenye website ya Voda wameandika up to.
mkuu nisaidie hapo inakaaje ilo
 
Nimejifunza kitu. ila nina swali kwenu wakuu je wa huku mikoani mbona hizi huduma sizioni kabisa. mpaka leo kuna makampuni fulani bado wanaunga bando za line.. ni kwamba watoa huduma huku mikoani wamepatelekeza

mkuu nisaidie hapo inakaaje ilo
Internet za waya ni gharama sana kusambaza.

1. Adsl ya TTCL ipo miji ambayo toka zamani ni miji na ina miundombinu ya nguzo za simu, kama mtaani kwenu zimepita waya za simu jaribu kwenda TTCL uwasikilize kama wamepitisha.

2. Vodacom supakasi nayo pia imesambaa manispaa nyingi ipo unaweza angalia hapa coverage

3. Ukikosa kabisa zipo satelite internet nchi nzima kama Konnect,
 
Back
Top Bottom