SHARIA LAW haizuiliki tena huko Uingereza,Watu wataanza kukatwa mikono!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Sheria za Kiislam( SHARIA LAW ) zinatarajiwa kulazimishwa kufanya kazi huko Uingereza watu wataanza kuzuiwa kula kipindi cha mfungo wezi kukatwa mikono,wauaji kuuliwa kwa kukatwa shingo,na viboko vita tu mika kama waislamu hawa watafanikiwa kuipenyeza sheria hiyo.

Uingereza wanatakiwa wawe makini sana kwa kuwafukuza wafuga midevu na majini kutoka huko maana walikaribishwa kama wakimbizi leo hii wanatumia uhuru waliopewa kuleta sera zao za kukatana mikono na kuuana kama wanavyofanya wenzao huko Mashariki ya kati. Dawa ya vibaka hawa ni kuwafurusha kila mmoja arudi kwenye nchi yake ya asili wakaweke hizo Sheria za kiislamu kwao siyo kuharibu tamaduni za wenyeji milową kuta.

Wake-up Europe!!! Wake-up America!!!

​
 
Attachments

  • FB_IMG_1715614681310.jpg
    FB_IMG_1715614681310.jpg
    17 KB · Views: 39
Wazungu wanaenda kuimba "wema wetu umetuponza sasa machungu ya dunia tunayaonja"

Hata nchi za kiarabu hazitaki baadhi ya waarabu wenzao lakini wazungu wamejitia wema na huruma kuwachukua wapikistani, wapalestina, wayemen, n.k.

Mzungu anazaa mtoto moja na wengine hawataki kabisa watoto huku Mwarabu anazaa watoto sita, piga hesabu baada ya miaka 30.

acha waisome namba
 
Thubutu wataishia huko huko Afghanistan:
Mungu wa Ibrahim Isaka na Yakobo kamwe hawezi kuruhusu huo upuuzi wa karne ya 5:
Mungu wa Ibrahim, Ishaq na Yakobo ndio huyo huyo Mungu wa Ismail na Muhammad kwa hio Yesu alikuwa Mungu wake nani? Au ndio ule Wimbo wenu 1=3
 
Dini ile ya mudi ili uwe mfuasi inabidi uwe na ukichaa makubwa, sio mdogo.
Mtu mwenye akili timamu hawezi kukubali kujiunga na mtume mwongo na mbakaji wa watoto.
Mtoto wa miaka 9 wa miaka 1500 iliyopita ni sawa na mtoto wa miaka 5 wa sasa kimaumbo
 
Sharia Law zitaishia huko huko Afghanistan:
Hazina nafasi ya kuiharibu Ulaya na Amerika:
Zitaishia huko huko Maka na Madina:
Mungu muumba mbingu na nchi hawezi kuubali huo upuuzi wa Mwarabu maeneo mengine:
 
Mungu wa Ibrahim, Ishaq na Yakobo ndio huyo huyo Mungu wa Ismail na Muhammad kwa hio Yesu alikuwa Mungu wake nani? Au ndio ule Wimbo wenu 1=3
Nop, Allah na Yehova hawafanani hata kidogo bro, wanatumia jina la Mungu but sio Mungu mmoja. Kuna mmoja ni Mungu na mwingine shetani, hawafanani; ingawa Waarabu na Waisrael wana undugu wa karibu zaidi kuliko Mzungu wa taifa lolote na Mu Israel; Israel na Arabs babu yao ni mmoja
 
Dini ile ya mudi ili uwe mfuasi inabidi uwe na ukichaa makubwa, sio mdogo.
Mtu mwenye akili timamu hawezi kukubali kujiunga na mtume mwongo na mbakaji wa watoto.
Mtoto wa miaka 9 wa miaka 1500 iliyopita ni sawa na mtoto wa miaka 5 wa sasa kimaumbo
Wewe ndiyo mwehu kabisa , udini umekukaa kwa paji la uso.

Tenga muda upate elimika kwa usichojua undani wake au kaa kimyaa, isije fika siku ukajutia ujinga wako na utokuwa na pa kugeukia.
 
Waislam kwenye maongezi lazima watoe neno la kutisha ili mtu aogope ,utasikia ipo siku utajutia na usiwe na pakugeuka hahahaaa bila vitisho hakuna dini
 
Mungu wa Ibrahim, Ishaq na Yakobo ndio huyo huyo Mungu wa Ismail na Muhammad kwa hio Yesu alikuwa Mungu wake nani? Au ndio ule Wimbo wenu 1=3
Mi sijawahi kuona andiko linasema Mungu wa Ismail na Muhamadi: huenda hao walikuwa wanaabudu miungu mingine ya kipagani :
Kama wewe umeliona liweke humu:

Mungu wa Ibrahim Isaka na Yakobo:
Kutoka (Exo) 3:6
Tena akasema, Mimi ni Mungu wa baba yako, Mungu wa Ibrahimu, Mungu wa Isaka, na Mungu wa Yakobo. Musa akaficha uso wake; kwa maana aliogopa kumwangalia Mungu.

Mungu wa Israeli:
Kutoka (Exo) 5:1
Hata baadaye, Musa na Haruni wakaenda wakamwambia Farao, wakasema, BWANA, Mungu wa Israeli, asema hivi, Wape watu wangu ruhusa waende, ili kunifanyia sikukuu jangwani.

Nasubiri andiko la Mungu wa Ismail na Muhamadi kama lipo kweli:
Dunia nzima inajua kuwa hao ni waabudu mizimu:
 
Waislam kwenye maongezi lazima watoe neno la kutisha ili mtu aogope ,utasikia ipo siku utajutia na usiwe na pakugeuka hahahaaa bila vitisho hakuna dini
Hizo ni nasaha , jukumu letu ni kukumbushia . Mengine utakutana nayo baada ya maisha haya.

Jitahidi usome usichokijua uenda ukawa muelevu.
 
Waislam kwenye maongezi lazima watoe neno la kutisha ili mtu aogope ,utasikia ipo siku utajutia na usiwe na pakugeuka hahahaaa bila vitisho hakuna dini
Mafundisho yao yamejaa vitisho vingi sana:
Utawasikia "utakutana na adhabu ya kaburi"
Bila vitisho haiendi, watu wataikimbia:
Huko kwenye adhabu ya kaburi kuna kupigwa marungu hadi unachakaa, kama huwezi kuiimba Shahada.
Ni vichekesho vitupu
 
Nop, Allah na Yehova hawafanani hata kidogo bro, wanatumia jina la Mungu but sio Mungu mmoja. Kuna mmoja ni Mungu na mwingine shetani, hawafanani; ingawa Waarabu na Waisrael wana undugu wa karibu zaidi kuliko Mzungu wa taifa lolote na Mu Israel; Israel na Arabs babu yao ni mmoja
Aliye kuambia hawafanani ni nani Paulo.
 
Back
Top Bottom