Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,904
- 1,064
Shida ya sharia law itawaadhibu wanyonge kama ifanyikavyo leo Tanzania lakini mafisadi papa wataachwa.
Maana siku zote makadhi ndio wadhambi wakuu, lakini huwa hawaguswi na hizo sharia. Na hivyo bado haitkuwa msaada.
Kwa wanaojua historia ya Uislamu ni kwamba Mohamed ali lay hizi sheria na yeye akawa juu ya sheria zenyewe. Akajilimbikizia mali na kuwa fisadi kuliko wapiganaji wenzie. Na warithi wake wanaendeleza kamchezo hako hako.
Hatuwezi kujiondoa kwenye makucha ya mafisadi papa leo kwa kujikabidhi kwa mafisadi nyangumi.