ELNIN0 JF-Expert Member Joined Nov 26, 2009 Posts 4,161 Reaction score 1,476 May 19, 2010 #1 Wakuu hii ni sharia mpya - imeshaanza tumika mikoani na kwenye wilaya zetu, ningependa na hapa jijini ianze kutumika hasa kwenye mahoteli na nyumba zote za kulala wageni (Gesti)
Wakuu hii ni sharia mpya - imeshaanza tumika mikoani na kwenye wilaya zetu, ningependa na hapa jijini ianze kutumika hasa kwenye mahoteli na nyumba zote za kulala wageni (Gesti)
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,023 Reaction score 12,811 May 19, 2010 #2 Hivi inawezekana kubeba cheti cha ndoa kila mahali, au kuwa na mke/mume kila unapoenda!
ELNIN0 JF-Expert Member Joined Nov 26, 2009 Posts 4,161 Reaction score 1,476 May 19, 2010 Thread starter #3 Katavi said: Hivi inawezekana kubeba cheti cha ndoa kila mahali, au kuwa na mke/mume kila unapoenda! Click to expand... Usitafute visingizio katavi, nenda toa copy tano sita hivi then fanya uhakiki baada ya hapo tembea na copies unaposafiri - original tunza nyumbani.
Katavi said: Hivi inawezekana kubeba cheti cha ndoa kila mahali, au kuwa na mke/mume kila unapoenda! Click to expand... Usitafute visingizio katavi, nenda toa copy tano sita hivi then fanya uhakiki baada ya hapo tembea na copies unaposafiri - original tunza nyumbani.