Sharia Mpya Imeanza Kutumika

Sharia Mpya Imeanza Kutumika

ELNIN0

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2009
Posts
4,161
Reaction score
1,476
Sharia Mpya.JPG


Wakuu hii ni sharia mpya - imeshaanza tumika mikoani na kwenye wilaya zetu, ningependa na hapa jijini ianze kutumika hasa kwenye mahoteli na nyumba zote za kulala wageni (Gesti)
 
Hivi inawezekana kubeba cheti cha ndoa kila mahali, au kuwa na mke/mume kila unapoenda!
 
Hivi inawezekana kubeba cheti cha ndoa kila mahali, au kuwa na mke/mume kila unapoenda!

Usitafute visingizio katavi, nenda toa copy tano sita hivi then fanya uhakiki baada ya hapo tembea na copies unaposafiri - original tunza nyumbani.
 
Back
Top Bottom