Sharjar ndo kitu gani Boflo?
Jemeni mnaijua Sharjah? Kwa sasa nipo hapa, Sasa hivi nimejua kwa nini Michael Jackson alipotua Bongo aliziba pua, He wa right!...right indeed!!
View attachment 12653
Sharjah ni mji uliopo katika inchi ya united arab of Emerates.
Jemeni mnaijua Sharjah? Kwa sasa nipo hapa, Sasa hivi nimejua kwa nini Michael Jackson alipotua Bongo aliziba pua, He wa right!...right indeed!!
View attachment 12653
Mkuu Mahmoud, Sharjah si mji bali ni one of the 5 Emirates zinazoform United Arab Emirates (UAE). Wasijewakakushitaki wenyewe kwa kuwashusha hadhi mkuu.
Jemeni mnaijua Sharjah? Kwa sasa nipo hapa, Sasa hivi nimejua kwa nini Michael Jackson alipotua Bongo aliziba pua, He wa right!...right indeed!!
View attachment 12653
nayeye akirudi sisi lazima tutaziba pua pia,maana watkoroga hilo biriyani lake la bata analotulingishia,boflo tartiiibu bana usituletee harufu hapa.:welcome:Umeamua kuwafuata huku huku boflo sasa si utarudi ukiwa urojo?
Kuziba pua kwa MJ haikumaanisha kuwa Bongo inanuka, inawezekana yeye mwenyewe ndiye alikuwa na matatizo, labda alikua anasumbuliwa na flu, so ilikuwa ni kwa faida ya wale alio ongozana nao.