Sharjah...Nchi Ya Waungwana!

Sharjah...Nchi Ya Waungwana!

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,412
Jemeni mnaijua Sharjah? Kwa sasa nipo hapa, Sasa hivi nimejua kwa nini Michael Jackson alipotua Bongo aliziba pua, He wa right!...right indeed!!
uaepic1_26072010.jpg
 
Kuziba pua kwa MJ haikumaanisha kuwa Bongo inanuka, inawezekana yeye mwenyewe ndiye alikuwa na matatizo, labda alikua anasumbuliwa na flu, so ilikuwa ni kwa faida ya wale alio ongozana nao.
 
Sharjah ni mji uliopo katika inchi ya united arab of Emerates.

Mkuu Mahmoud, Sharjah si mji bali ni one of the 5 Emirates zinazoform United Arab Emirates (UAE). Wasijewakakushitaki wenyewe kwa kuwashusha hadhi mkuu.
 
Mbona sioni kitu chochote cha kuonyesha kwamba Sharja ni nchi ya waungwana? Nimeona tu picha ya majengo marefu iliyopigwa usiku. Hata hapa Dar unaweza ukapata muonekano wa aina hiyo ukiwa na photographer mzuri. Bado sioni uungwana wowote kwenye picha hiyo nikizingatia kuwa uungwana ni wa watu na sio majengo.
 
sharjah ni ka eneo kadogo jusini mwa dubai ila kuna mfalme wake pale kama ilivyo qatar, saud arabia nk
 
Jemeni mnaijua Sharjah? Kwa sasa nipo hapa, Sasa hivi nimejua kwa nini Michael Jackson alipotua Bongo aliziba pua, He wa right!...right indeed!!
View attachment 12653

jiji zima la sharjah nalo linanuka oil tupu, japo umtuwekea kapicha kamoja ka moja ya maeneo yake
huko kama shughuri zake za kiuchumi kama ni dar, basi gerezani na tabata dampo
 
hawezi kushitakiwa kwasababu hata hapa kwetu kule kaskazini kuna sehemu ukitia mguu tu unaambiwa unaingia falme za kiarabu.....so what is new??????...au kwa kuwa wao ni waarabu na sisi ni......
Mkuu Mahmoud, Sharjah si mji bali ni one of the 5 Emirates zinazoform United Arab Emirates (UAE). Wasijewakakushitaki wenyewe kwa kuwashusha hadhi mkuu.
 
Umeamua kuwafuata huku huku boflo sasa si utarudi ukiwa urojo?
nayeye akirudi sisi lazima tutaziba pua pia,maana watkoroga hilo biriyani lake la bata analotulingishia,boflo tartiiibu bana usituletee harufu hapa.:welcome:
 
Kuziba pua kwa MJ haikumaanisha kuwa Bongo inanuka, inawezekana yeye mwenyewe ndiye alikuwa na matatizo, labda alikua anasumbuliwa na flu, so ilikuwa ni kwa faida ya wale alio ongozana nao.

Yes. Suala la harufu linataka uangalifu sana. Unaweza wewe ukawa ndiyo unanuka bila kujijua
 
Back
Top Bottom