'Sharo Millionea' ndio nani huyo?!
Kuzushiana vifo kumezidi ngoja nisubiri na mimi nisikie
masanilo ana mdudu kichwanisasa mbona unaanza kupumba.... Msibani?
ni msanii nnliyempenda sana yan ooo mama juzi tu alikuwa friday nite live ya eatv du! we sio
frimaso
Dah! inaumiza sana kwa m2 unaempenda akitangulia mbele za haki,kifo cha sharo milionea kinaniumiza mno jaman wanajf!
Kwanin usichangie thread walizoanzisha wenzako?? Ya moyoni yanatakiwa kutolewa in unique way!
#Kama ni kazi ya ibilisi je!Da imesikitisha sana kijana alikuja na ubunifu wa aina ya pekee na akafanikiwa kuwavutia watu.Lakini kazi yake Mungu haina makosa R.I.P. HUSSEIN RAMADHANI MKIETY