Aggrey86
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 853
- 155
'Sharo Millionea' ndio nani huyo?!
Ni msanii maarufu kwa jina la sharobaro yupo kwenye matangazo mengi ya Airtel Money yupo na Mzee majuto! Mzee wa swaga umebugi Men!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
'Sharo Millionea' ndio nani huyo?!
Kuzushiana vifo kumezidi ngoja nisubiri na mimi nisikie
masanilo ana mdudu kichwanisasa mbona unaanza kupumba.... Msibani?
ni msanii nnliyempenda sana yan ooo mama juzi tu alikuwa friday nite live ya eatv du! we sio
frimaso
Dah! inaumiza sana kwa m2 unaempenda akitangulia mbele za haki,kifo cha sharo milionea kinaniumiza mno jaman wanajf!
Kwanin usichangie thread walizoanzisha wenzako?? Ya moyoni yanatakiwa kutolewa in unique way!
#Kama ni kazi ya ibilisi je!Da imesikitisha sana kijana alikuja na ubunifu wa aina ya pekee na akafanikiwa kuwavutia watu.Lakini kazi yake Mungu haina makosa R.I.P. HUSSEIN RAMADHANI MKIETY