TANZIA Sharo Millionea afariki dunia

kati ya vifaa vilivyokabaki ktk filamu nilikua namkubali sana Sharo, oooh my God rest in peace
 
Mungu amlaze mahali pema peponi sharo millionea ebu wana JF nisaidieni naona kila mtu anaweka hizi herufi "rip" ebu sisi wa kijijini tuelewesheni na mimi ngoja niigilizie rip sharo ingawa sijui maana yake nionekane wa mujini.
 
aiseeeeee babaangu jb,stive nyerere, luge na ray wanaandaa mazishi muda si mrefu watayowa namba za mpesa
 
mkuu hiyo ajari aliyo pata amegongana nagari nyingine au imekuajekuje hebu 2juuze zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…