TANZIA Sharo Millionea afariki dunia

TANZIA Sharo Millionea afariki dunia

weye umejiandaaje kufa??
wanasema ...aoni Kundule!
R.I.P sharomeeeeeeeeeeeeen, gonna mic yo' much!

sasa kama aliiishi maisha ya kipumbavu pumbavu akifikiri muda bado. sasa imeshakuwa mbaya. kifo tunatembea nacho wajameni. RIP MEEN!
 
Steve nyerere ndo wa kwanza kurusha taarifa jamaa kimbelembele balaa ndo maana kadumaa mwili mdogo sura ya kizee

kijeba kile kina masters ya ukuwadi..kina shobo alafu kinaweza kukulazimisha kinakufahamu kisa kimenusa harufu ya fedha.
 
kila nafsi itaonja mauti,cha muhimu kwenye gari alikuwa peke yake,nadhani angekuwa na demu,huyo demu siku ya leo ingemnukia vibaya kwani tuhuma zote za kumuuwa zingemuangukia yeye!!
 
ni msanii nnliyempenda sana yan ooo mama juzi tu alikuwa friday nite live ya eatv du! we sio
frimaso
 
the future is today.......there is no tomorrow...do wat u wanna do today,tomorrow neva comes..RIP SHARO MILLIONEA
 
Inna lillahi wa inna illayhi rajiunn, Mwenyezimungu amlipe kutokana na amali zake.
 
Mwenyezi Mungu, mwingi wa huruma na rehema, akusamehe makosa yako na kuipokea roho yako kwenye ufalme Wake.
Pumzika kwa amani kaka!

Pole kwa familia na Mungu awajaze moyo wa subira na kuwafanyia wepesi.
 
Back
Top Bottom