TANZIA Sharo Millionea afariki dunia

TANZIA Sharo Millionea afariki dunia

nakupa ushauri mzuri, ili uwe mtu wa kumtegemea mungu ili ukifa hata ghafla uurithi ufalme wake unaniona sina akili, haya endelea kunywa wanzuki, kufanya zinaa, kusema uwongo. etc halafu mwisho wa siku tutaona kama uko MENTAL FIT. you should know that we are walking with death! Tumeshasema R.I.P sana mpaka lishakuwa neno la kwaida. Haya endelea kuniuona mm ni kichaa!

POLE MKUU KWA KTUKANWA NAONA MH REMOTE KATOKEA KWENYE WANZUKI NA GONGO KAVAMIA UZI NA KUANZA KUWAPOROMOSHEA MITUSI WATOA SALAM ZA POLE KWA SHALO MILIONEA, KWELI AMELEWA SIONI SABAB YA KUWATUS WATU MARA FOOLISH, OH MENTAL UNFIT DAH UYU MLEVI NI NOUMa
 
eatv imeekaaje hii!
Mnatabiri vifo vya hawa watu!
Sijui kama nawaza sahihi pengine ni kujumlisha tu mtukio!lakini dah!yani jamani nimelia sana kusema ukweli nilikuwa napenda sana huyu mtu anavoigiza!

nakumbuka awa eatv pia clouds tv, walikuwa tu km wiki ivi wamemuoj kanumba, mamake pia lulu, badae jamaa aka kick the basket duh sasa izi tv za kuogopwa,
 
kwa nn wasanii mkifikia stage ya kutengeneza matangazo inakuwa ndo mwishowa maisha yenu?
 
Sote tu mavumbi na mavumbini tutatudi..Ulazwe mahala pema SHARO.!
 
Barabara zetu zinatisha sana. Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
 
kama kumbu kumbu zangu ziko vizuri sharo anakuwa msanii wa tatu kufariki akiwa anafanya kazi karibu na mzee majuto........anyway RIP sharo!

wewe umeanza maneno yako, unataka kusemaje pia kutwambia nini?
 
Barabara zetu zinatisha sana. Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.

mkuu ajali ni ajali,huwezi amini barabara bado mpya kabisa haina hata miezi sita! Wakati wake umefika tu! Once again RIP Sharomillionea!
 
Updates News

[h=3]AUDIO: KAMANDA WA POLISI TANGA ATOA UFAFANUZI KUHUSU KIFO CHA SHARO MILIONEA[/h]






Namkariri Kamanda wa Polisi Tanga akisema “leo majira ya saa mbili usiku kwenye barabara ya Segera Muheza mtu mmoja alietambulika kwa jina la Hussein Ramadhani au Sharo Milionea akiwa anaendesha gari namba T478 BVR Toyota Harrier akitokea Dar es salaam kwenda Muheza alipofika eneo la Maguzonizonga wilayani Muheza hilo gari lake liliacha njia na kupinduka mara kadhaa na kusababisha kifo chake, mwili wa marehemu umehifadhiwa kwenye hospitali Teule ya wilaya ya Muheza”

Kamanda amesema hakuna kona kali sana wala ubovu wa barabara kwenye sehemu aliyopata ajali Sharo Milionea, katikati ya Segera na Muheza ambapo gari imehifadhiwa mahali salama kwa sababu haitembei.
<iframe allowtransparency="true" frameborder="0" id="hulkshare-player-embed" name="hulkshare-player-embed" scrolling="no" src="http://www.hulkshare.com/hsPlayer/embed/embed_clean.php?fn=zqw64bk5u48w&enableDownload=1&enableAdd=false&bg=000000&fg=undefined&iconColor=8CDA27&backColor=000000&outColor=CCCCCC&overColor=FFFFFF&textColor=9E9D9D&tintColor=373737&type=7&width=550px" style="height: 160px; width: 550px;"></iframe>
[h=2]chanzo : AUDIO: KAMANDA WA POLISI TANGA ATOA UFAFANUZI KUHUSU KIFO CHA SHARO MILIONEA - MPEKUZI[/h]
 

[h=2]MSANII WA VICHEKESHO NA MUZKI SHARO MILIONEA AMEFARIKI LEO HUKO MUHEZA TANGA KWA AJALI YA GARI AMBAPO NDUGU YAKE WA KARIBU SNURA MUSHI AMETHIBITISHA TUKIO HILO KWA NJIA YA SIMU .....[/h][h=2] [/h][h=5]Naye Kamanda wa Polisi mkoani Tanga, Afande Constatine Masawe, amethibitisha kutokea kwa kifo cha wa Sharobaro, kufuatia ajali ya gari katika kijiji cha Lusanga, Muheza, mkoani Tanga ambako ndio nyumbani kwao.......[/h][h=2] [/h][h=2]MPAKA SASA MWILI UPO HOSPITALI TEULE YA MUHEZA ,TANGA[/h]


Mpekuzi imepokea habari hizi kwa mstuko na masikitiko makubwa kwani nyota ya Sharo Milionea ndiyo ilikuwa inaanza kung'ara katika anga za muziki pamoja na matangazo ya biashara, akiwa kayapumulia pumzi mpya wa ubunifu na weledi katika kupeleka ujumbe kwa watazamaji ambao wakubwa na wadogo walimpenda.

Mola aiweke roho ya marehemu
mahali pema peponi - Amina
 
ooooh my god kumbe kweli nimepata msg saa nne usiku nikajua utani ,matangazo yake na mzee majuto huwa nikiyacheki nabaki kucheka mwenyewe RIP sharo milionea,tulitoka mavumbini na mavumbini tutarudi

Hivi jina lake la ukweli alikuwa anaitwa nani maana mie najua tu hilo Sharo baro

sharo-milionea.jpg
Sharo1.jpg






usinichafue men..
 
Back
Top Bottom