Sharo na majuto......!

Status
Not open for further replies.

Noel france

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2012
Posts
1,104
Reaction score
917
Kuna ukweli gani kati ya mzee majuto na sharo? Kuna sehemu nimesikia ya kwamba zaidi ya kuigiza pamoja king majuto na sharo wana mahusiano ya karibu(baba na mwana). Pia nilikwisha wai kusikia alikuwa anaigiza pamoja na mkewe. Je kunaukweli gani alafu ukizingatia majuto kwao tanga na sharo mauti yamemkuta akielekea tanga kwao?
 
Yanaibuka baada ya kifo chake?? atathibitishaje sasa!?
 
na mimi nimeshawahi kusikia kuwa sharo ni mtoto wa mzee majuto
 
hata mi nishackia kitambo kuwa ni last born wa majuto
 
Sasa atajibu vipi jambo lisilo na msingi !?

nashukuru pia na wewe kuengezeka kunikosoa pasipo kunipatia majibu yenye kueleweka. Lakini mkubwa tambua hii ni tetesi 2,pia inategemea ikuingie ama isikuingie,kama ukunielewa ama imekuingia lazima utaniponda kwavile umezoe kwani ndio mchezo wako.
 
Mi naona wanafanana sana. Ukiamgalia vizuri macho yao na midomo yao naona kuna unasaba.
 
huu uzi uliwahi kuwekwa hapa na wakakanusha kuwa hakuna undugu wowote.... ila sikumbuki ni uzi gani?
 
Mi naona wanafanana sana. Ukiamgalia vizuri macho yao na midomo yao naona kuna unasaba.

pamoja na kufanana nilikwisha msikia akisema ana watoto wake pia wanafuata nyao zake,lakini sijawai kumsikia akiwataja ama kumsema flani ndio mwanangu ingawa alithibitisha kunabadhi ya watoto wake wamekwisha anza fani anayofanya yeye na wapo kwenye soko la sana.
 
pia inawezekana lakini tuthibitishie ili tufahamu zipi kapi na zipi chenga.

Nimewahi kumsikia Mzee Majuto akihojiwa na kipindi cha Ben & Mai TBC1, alikuwa na wanae 3 wa kiume. Huyo Sharo hakuwepo na zaidi akasema hakuna hata mmoja ambaye karithi kipaji chake zaidi ya mmoja tu ambaye ni muongozaji wa filamu.
 
Lakini alishawahi kueleza katika kipindi kimoja cha TV kuwa siyo kweli ila wanatoka eneo moja Tanga.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…