R.I.P SHARO, Tutakumisi sana
Kuna ukweli gani kati
ya mzee majuto na sharo? Kuna sehemu nimesikia ya kwamba zaidi ya
kuigiza pamoja king majuto na sharo wana mahusiano ya karibu(baba na
mwana). Pia nilikwisha wai kusikia alikuwa anaigiza pamoja na mkewe. Je
kunaukweli gani alafu ukizingatia majuto kwao tanga na sharo mauti
yamemkuta akielekea tanga kwao?