Sharobaro wa Kihaya, mchekeshaji wa Futuhi acha kujichubua

Sharobaro wa Kihaya, mchekeshaji wa Futuhi acha kujichubua

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
25,190
Reaction score
27,434
Huyu ni mchekesha wa comedi kipindi kinachorushwa na Star TV saa tatu na nusu usiku siku ya alhamisi kipindi kinachoitwa "futuhi" mtangazaji anaeitwa sharobaro wa kihaya ameanza kujichubua.

Mwanzoni nilidhani ni weupe wake au ni scrub labda inamfanya hivyo lakini jana kwenye kipindi hicho kabadilika sana ukimwangalia shingoni na kwa nyuma ya shingo usoni na mikononi hasa kwenye vidole kabadilika sana hadi kashaanza kuwa na mabaka mabaka ,kumbe anavyojiita sharobaro ni kweli anataka kubadilika mi nilidhani ni a.k.a tuu anatumia .

Ushauri ;bora uendelee kubaki na rangi yako kama ni nyota itakuwakia tuu wewe ni mwanaume kubali rangi yako kama brother k.mbona maisha bado yapo na yataendelea tuu. Au kama umeona kujichubua ndo utaonekana my brother unapotea badilika.

Screenshot_2019-12-20-14-05-37.jpeg
 
Kaiva hadi kaumuka..
Huyu ni mchekesha wa comedi kipindi kinachorushwa na star tv saa tatu na nusu usiku siku ya alhamisi kipindi kinachoitwa " futuhi"mtangazaji anaeitwa sharobaro wa kihaya ameanza kujichubua.

Mwanzoni nilidhani ni weupe wake au ni scrub labda inamfanya hivyo lakini jana kwenye kipindi hicho kabadilika sana ukimwangalia shingoni na kwa nyuma ya shingo usoni na mikononi hasa kwenye vidole kabadilika sana hadi kashaanza kuwa na mabaka mabaka ,kumbe anavyojiita sharobaro ni kweli anataka kubadilika mi nilidhani ni a.k.a tuu anatumia .

Ushauri ;bora uendelee kubaki na rangi yako kama ni nyota itakuwakia tuu wewe ni mwanaume kubali rangi yako kama brother k.mbona maisha bado yapo na yataendelea tuu.
Au kama umeona kujichubua ndo utaonekana my brother unapotea badilika.View attachment 1298133

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom