Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina mwaka sijaangalia futuhi hivi bado hua wanagombana gombana kwny kila kichekesho?Anatafuta kumfunika broza k wakati bado sana
Ama kweli wanaume mnazidi kupungua. Haya huyoo kaona ucheusi mangala haumfai kaamua kujikwatua.
Hao Dada zao wenyewe kukiwa na jua kali hawatembei kwa kuogopa kuungua uso.
Hahhah Ila mkuu cha ajabu ambacho sikielewi kuhusu wanawake,naona mpk kuna wanawake wenye vyeo na ni wasomi wanajichubua mawaziri,makatibu huko wizarani,wakurugenzi etc.Hao Dada zao wenyewe kukiwa na jua kali hawatembei kwa kuogopa kuungua uso.
Au ndio kutumia tumia mimafuta mwishowe kaangukia kwenye kung'aa? Teh
Ndiyo nimemuona etiKam ukibahatika kuona marudio ya kipindi cha jana ndo utagundua zaidi
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai!!Hahhah Ila mkuu cha ajabu ambacho sikielewi kuhusu wanawake,naona mpk kuna wanawake wenye vyeo na ni wasomi wanajichubua mawaziri,makatibu huko wizarani,wakurugenzi etc.
Sasa hapo hua sielewi tofauti ya aliyesoma vs asiyesoma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kwa nini unajikyubuaaa?Mumeamua kunianika humu si mnifate munieleze au munipigie kuliko kunianika humu jaman
Sent using Jamii Forums mobile app
Pipe za hydraulic zitakuwa zimepasuka pengine!Kwenye tv ndo kabisa utagundua break lining hazipo