Sharp Aquos

Hivi ndugu zangu hizi simu za mjapani naona zinakuwa trend sana huku huu mwaka mwishon hapa

Niambien zina ubora huo zinaopigiwa promo
Camera
Waterproof
Battery inatunza moto
Storage yake. Ya uhalisia?
Nyingi battery sio nzuri, inategemea na model, sababu ni flagship za zamani storage, Camera, na build quality kiujumla ipo vizuri,

Zinafanana na Sony bora kununua Sony Xperia to be safe.
 
simu nzuri sana ndiyo nayotumia hapa
betri yake 4750mAh kama sijakosea
nakaa nayo siku kadhaa,
yeah ni waterproof kwa 2m ndani ya dk 30
yako ina processor ghani,ram ngap, rom ngap, network ghan, upora wa picha zake vipi maana naona zinauzwa bei poa wakati specs ziko vizur
 
Simu hizi ni Nzuri kumbuka kampuni ya Sharp inamilikiwa na Foxconn ambayo ndio inatengeneza simu za iphone under contract ya apple. Pia ndio kampuni ya kwanza kutengeneza simu zenye Camera kwaajili ya wanunuaji wengi kwahiyo sio wageni kwenye hii industry bali ni wageni kwenye soko letu ambalo tumewazoea kwenye Matv choggo na deki za VCR
 
Hivi ndugu zangu hizi simu za mjapani naona zinakuwa trend sana huku huu mwaka mwishon hapa

Niambien zina ubora huo zinaopigiwa promo
Camera
Waterproof
Battery inatunza moto
Storage yake. Ya uhalisia?
ni kweli na ukichukua kubwa kuanzia aqual sense 5 5G kwa sasa ninapoandika hizi hakuna tool inayoweza kuvunja ulinzi wake kwa kutoa password ama Parten yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…