Sharp Aquos

Sharp Aquos

Nina R6 shida ninayo iona ni kupata Moto ukiitumia muda mrefu hasa kama mpenzi WA kucheza game. Ila ni simu nzuri sana
 
Aqous zero 6 ni flagship iyo, yakwako haisumbui chochote zaidi ya battery?
Kumbe ilikuwa flagship phone hii. Sema spec wise hawa SHARP wako vizuri sana kwenye soko la simu zetu za ki Dubai. Google pixel ya specs hizi inauzwa bei ghali Sana.

Nimejaribu kuiondoa kwenye Band ya 5G nimeweka 4G Acha nione kama itasaidia maana nayo inameza bando sio mchezo.
 
Kwa spec izo kwa kampuni zingine ni simu ghalu mnoo, shusha hata 3G ukiwa unatumia normal tu
 
Haisumbui chochote?? Maana nilitakaga kuchukua hii
Inategemea mkuu unataka nini xperia 10 iii ni midrange wakati inatoka na kwa sasa ni lowend kabisa kitu kinachoitofautisha hii simu inakaa sana na chaji, pia ina usb 3.1 unaweza kuitumia kama "deki" kwenye tv yako ukaangalia mpira, movies etc.

Sema ni 10 III na sio 10 II maana hizi simu zinafanana na mark II ndio zimejaa.
 
Niko na R 6 shida ni moja... Speed ni kubwa ukiw na bando sa kupimiwa kwa vijiko utafilisika bila Intarnety bila kikomo .

Unagusa tuu ishafunguka kila kitu
RAM 12GB
ROM 128 GM
Display ni 6.67 edge

Kwa wapenzi wa muvi hizo ndo simu zenu maana kioo ni full display

Wale pia wapenzi wa game ndo zenyewe hazi stack Ram ni kubwa.

Nilichukuaga used
 
Back
Top Bottom